Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

chief hao wote usiwadharau wamejenga nyumba zao kisumu na ushago ,,,wapo pale nairobi kibera kwaajili ya business ,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kuna mlevi mmoja kutoka kunya land alisikika akisema
Hao pia kila mmoja ana Ghetto lake amejenga, nilskia Wabongo wote mnamaghetto yenyu? 😂 😂 😂

 
sawa designer,,,kama kupendeza ni fashion show pekee nitaacha...


ila buti lako la jeje ni mambo moto..

ila kwa upande wa dressing code nimekupa 0%
umevurunda
Wewe kashone vitenge bhana, mimi na kupendeza, sijui fashion, sijui luku, wapi na wapi... Nliwaachia wabana pua hayo, siyawezi! 🤣 🤣 🤣
 
Huwezi kuona mana wewe mwenyewe lugha huijui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenzako kakimbia[emoji1787][emoji1787]
Naona zuka lingine nalo limewasili kutetea ujinga, pole sana mzee
 
Buti linakuhusia nini mzee[emoji1787][emoji1787]
Kwhyo katengeza hapo ndio aje awaongopee wajinga..
Kila mtu ana uhuru wa kuvaa chochote we km umeumwa kafie mbele mzee[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…