Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Kwa akili yake anafikiri kwamba California ni mji 😂 😂 😂Nilimpuuza hyo jama, manake haswa
Kwanza kasema carlifonia yani km state imeshindwa na dar katika mipango miji
Kwa akili yake anafikiri kwamba California ni mji 😂 😂 😂Nilimpuuza hyo jama, manake haswa
Kwanza kasema carlifonia yani km state imeshindwa na dar katika mipango miji
Hii huitaki 🤣🤣🤣👇👇👇
🤣🤣🤣👇👇👇👇 hii ni just robo ya kariakoo sasa imagineKilimani
View attachment 1809625View attachment 1809630View attachment 1809637View attachment 1809639View attachment 1809653View attachment 1809657View attachment 1809660
Parklands
View attachment 1809663View attachment 1809664View attachment 1809674View attachment 1809675View attachment 1809682View attachment 1809687View attachment 1809689View attachment 1809690View attachment 1809691
Westlands
View attachment 1809694View attachment 1809701View attachment 1809702View attachment 1809717View attachment 1809726View attachment 1809727View attachment 1809728
Dar
View attachment 1809703View attachment 1809706
Unaleta picha imepigwa 50km from dar au na sisi tulete ya 50km tuone tutaona nn naorobi zaidi ya mbara wa britam 🤣🤣👇👇
Kwann ukasirike sasa 🤣🤣🤣👇👇👇
🤣🤣🤣🤣👇👇👇 vumilia tu hio ndio maana ya concrete jungle
Bado Sana, Nakuru babayao
Nyie wapuuzi wote wawili, ni haramu na ni dhambi kubwa sana kuitaja Arusha kwenye sentence moja na Nakuru, Arusha ni kitu kingine kabisa yani Arusha ni mji ambao upo kwenye league yake kwa hapa EA, kwanza ni green City, mji wa utalii, makao makuu ya EA .. duh eeh bhana eeh Ila sitaongea tu hiv hiv lazima niwanyooshe kidogo .. en this is Arusha you fucking guys don't know aboutHii kitu nilikuuliza, why are traffic lights working half of the time??? 😂 😂 😂
Alafu hii picha ya chini ya kitambo, ama bado "new buildings" zinajengwa za invisible??? 😂