Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku Afrika kutatokea city kama Nairobi mnitag..... Westlands pekee inameza cbd ya dar,kampala,kigali na inabaki na change ya eneo kubwa tu
IMG_20210601_073118_919.jpg
IMG_20210601_073046_440.jpg


Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
 
Nakuru na yenyewe haijaachwa nyuma katika utajiri wa slums Kenya ilobarikiwa nao

View attachment 1809157View attachment 1809158View attachment 1809159View attachment 1809160
nakuru ya mamako!!.. hapo ni nakuru??.. nitafutie ghetto za nakuru za ukweli..
jinsi vyumba na mijengo ya nakuru ilivyo ratibiwa vizuri, utadhani ata mji flani south africa. alafu unaniletea slums za dar, mbagala mwanzo.. tubebe laana ya umaskini ya matanga 'nyika' huo wenu... dah! hapo hakuna siku!
 
Back
Top Bottom