Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwn kariakoo tukisema wengi wa pemba itakua tunaleta ukabila[emoji1787][emoji1787]
We kweli boya sana, kibera si imejaa wajaluo wakifuatiwa na wanubi kwn uongo
Wapemba gn hao waliojaa kkoo? Unawajua wakinga?
 
Kwa mtazamo wao kuhusu plan ya Dar basi hata california ni slum, sababu na yenyewe ina mpangilio kama Dar 😅😅😅😅

Tena Dar tumeizidi california sababu eneo lenye hii plan ni dogo sana

View attachment 1808577
Huu mji inaitwa California inapatikana wapi hapa duniani?

Where is this city/town known as California found?
 
Hizo ni ghorofa za kisasa, hivyo zinavyoonekana ndivyo hivyo hivyo hakuna editing hapo, ni ghorofa tamu sana kuziangalia hata with naked eyes [emoji102].
Zipambe tu waruhusiwa, ila mkijenga zingine niambie nije kuzizoom pia! ✌️
 
Na Hio Bedsitter Mmetajataja Sana Mabongolala🙄Naona Nikama iyo Ndio maisha yenu kuishi kwa Bedsitter 🤔😆
 
Waambie wenzako wajue sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Wajue hapo ndio ferry za kwenda Zanzibar zinaanzia hapo na kurudi hapo kila siku . Imagine more than 16 ferries per day. Bado zile zingine za kawaida .

Ukitoka ferry kuelekea Zanzibar na wakati wa kurudi kuna view kali sana za Dar . Nasubiria Mzizima imalize cladding ntapost hapa . Kuna view 3 za kufa mtu[emoji41].

1. Azam Kilimanjaro fast ferries



2. Zan fast Ferries

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…