Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kudondoka ni nn?
Hujui maana ya kudondoka???...hahahaa ulishawahi kuona avocado iki fall down baada ya kuiva juu ya mti!??..huko ndo kudondoka yaani tiiiii kutoka juu ya mti hadi chini..kwa hiyo makomando wenyu wamedondoka kama avocado au embe iliyoiva toka juu ya mti
 
Yaani niwaonee wivu watu wanaoboronga English pamoja na accent chafu.
Kuwa na adabu.

Zimbabwe wana kingereza safii kabisa.
nimegundua tu kumbe watu wako Skuli humu JF. kumbe JF ni shule ya watzii kujifunza kingereza toka kwa wakenya. hio nilijua nikiwa 'kisumu vs mwanza'. ata hawajui maana ya Skyline, CBD, City Proper, Metropolitan Area, Peri-urban, Suburbs. etc
 
We tayari ni mjinga, km tayari ushajiaminishia mtu kuongea lugha ambayo ilitumika shuleni kutoka la kwanza mpka chuo kwako ni kujitapa..km sio wivu ni nini huo, ama ndio ile tunaita unafiki wa viwango
Wakenya kingereza ni official language, haiwezekani mtu miaka yote ufunze kw lugha flanu alafu ushindwe kukiongea
Mbn wewe hujui kukiongea au hujaenda shule?
 
Tayari washaongopewa
Screenshot_20210603-233713.jpg
Screenshot_20210603-233801.jpg
 
Sasa wewe ni nini unafanya!?
Hiyo takataka unaleta hapa ya nini.
Hakuna mji Kama Lamu Tanzania. Eti Fumba
View attachment 1807443View attachment 1807444
Ndivyo alivyokuongopea Mama Ngina au? Angalia video hapo chini, ni 3 years back na bado nakutafutia current video ili usije ukathubutu kuongea upupu km huo, angalia apo waziri wako alifanya tour kunako Fumba town Zanzibar, Kenge kweli wewe usije ukarudia, tuko mbali sn kwa sasa

Screenshot_20210603-234430.jpg
Screenshot_20210603-234246.jpg
Screenshot_20210603-234141.jpg
Screenshot_20210603-234051.jpg
Screenshot_20210603-234034.jpg
 
Ndivyo alivyokuongopea Mama Ngina au? Angalia video hapo chini, ni 3 years back na bado nakutafutia current video ili usije ukathubutu kuongea upupu km huo, angalia apo waziri wako alifanya tour kunako Fumba town Zanzibar, Kenge kweli wewe usije ukarudia, tuko mbali sn kwa sasa

View attachment 1807476View attachment 1807477View attachment 1807478View attachment 1807479View attachment 1807480
Render hata zako! 😬😬😬
 
Hata mtoto wa kindergarten hawezi kukuelewa, ndio umemaanisha nini hapo, au wewe ndio mwenye kandarasi?
Kwani ujenzi wenu mmeusahau au? Hapo yatapangwa matofali zen kwisha, render inaelekea North, actual thing West, hamjawahi kufatisha render
 
Kwani ujenzi wenu mmeusahau au? Hapo yatapangwa matofali zen kwisha, render inaelekea North, actual thing West, hamjawahi kufatisha render
Hata JKIA, MIA nk zote pia zilianzwa kwa kupangwa matofali, leo hii! 🤣 🤣 🤣 🤣 Wacha yapangwe tu, alafu kikiisha tutajua...
 
Back
Top Bottom