Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usiniambukize ujinga.
We tayari ni mjinga, km tayari ushajiaminishia mtu kuongea lugha ambayo ilitumika shuleni kutoka la kwanza mpka chuo kwako ni kujitapa..km sio wivu ni nini huo, ama ndio ile tunaita unafiki wa viwango[emoji1787][emoji1787]
Wakenya kingereza ni official language, haiwezekani mtu miaka yote ufunze kw lugha flanu alafu ushindwe kukiongea
 
Nakuru airport, phase 1 expected by 2022
IMG_20210603_220749.jpg
IMG_20210603_220754.jpg
IMG_20210603_220751.jpg
 
Yaani makomando wa KDF baada ya kuvamiwa wakaona isiwe kesi ngonja tule kona vichakani,wakawaacha wamarekani wanapambana peke yao.. Aisee ndo maana sishangai kuona makomando wa KDF wakidondoka na maparashuti kama maparachichi yaliyokwiva juu ya mti
KDF hakuna commandos
 
We tayari ni mjinga, km tayari ushajiaminishia mtu kuongea lugha ambayo ilitumika shuleni kutoka la kwanza mpka chuo kwako ni kujitapa..km sio wivu ni nini huo, ama ndio ile tunaita unafiki wa viwango[emoji1787][emoji1787]
Wakenya kingereza ni official language, haiwezekani mtu miaka yote ufunze kw lugha flanu alafu ushindwe kukiongea
Yaani niwaonee wivu watu wanaoboronga English pamoja na accent chafu.
Kuwa na adabu.

Zimbabwe wana kingereza safii kabisa.
 
Mambo mageni kwenyu, wakati KE tangu 2000 tunatumia mfumo wa pre-paid kuanzia stima hadi maji. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tanzania [emoji1241]
View attachment 1807037


V/S KENYA [emoji1139]
View attachment 1807038

View attachment 1807039
View attachment 1807040
View attachment 1807041
View attachment 1807042
View attachment 1807043
View attachment 1807044
Pre-paid meter card [emoji388]
View attachment 1807045
View attachment 1807049
Majamaa wapo nyuma sana walai
 
Eti 2000 [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Private project for his few people ndio unasema ni mradi wa Kenya nzima?

Tena mradi wa 2018 unasema wa 2000 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata Mpesa bado haijulikani itakua lini
Mbona umekasirika mzee[emoji1787][emoji1787]
Prepaid meters mbona zipo kitambo, au hata sisi wengine ni among the few hao unaowataja..
 
Nachezaga 'award winning winery's'... all the way from KE, yaani one brand matata. Chuki yako peleka Baghdad! 🤣 🤣 🤣

Leleshwa winery, which is named after a common tree in the vicinity, continued to grow and now prides itself as the 2015 winner of Michelangelo Wines and Spirits best white wine award. It is also the only winery between North of Johannesburg and South of Sicily with a female winemaker.
Mwambie pia na Ile Wine ya Muratina ya USA,yenye inawapeleka USA wazimu🔥🇰🇪🔥😏
 
Yaani niwaonee wivu watu wanaoboronga English pamoja na accent chafu.
Kuwa na adabu.

Zimbabwe wana kingereza safii kabisa.
Accent yetu ni unique ndio maana haikutoki wewe kuiponda kila wakati sababu unaishobokea tunajua! 🤣 🤣 🤣 🤣 Alafu wacha Zimbabwe, hata UG wana kizungu smart na bado wana lugha zao za mama. Sasa unaona, shule muhimu mkuu! 🤣 🤣 🤣
 
Yaani niwaonee wivu watu wanaoboronga English pamoja na accent chafu.
Kuwa na adabu.

Zimbabwe wana kingereza safii kabisa.
Umebadili gear hewani, mbona tena mzee..we si ilikua hutaki watu wajue lugha inayotumika katika utoaji wa elimu yetu[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom