Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao unawaita "wale wale" hizo nyumba wamezijenga waziuze au wazilalie wao wenyewe. Acheni akili ndogo, hukusoma wewe? 😂 😂 😂
Zimejengwa na nani?? Nataka nijue waliojenga ni kina nani??🤣🤣🤣🤣 wao wanajenga kufanya biashara ndio maana huwez shangaa kibera kua na watu 2.5m kwasababu ardhi imeahikwa na wale wale na ww unawajua
 
Zimejengwa na nani?? Nataka nijue waliojenga ni kina nani??🤣🤣🤣🤣 wao wanajenga kufanya biashara ndio maana huwez shangaa kibera kua na watu 2.5m kwasababu ardhi imeahikwa na wale wale na ww unawajua
Na akili hii yako, nabishana na mlevi wa gongo kweli! 🤣 🤣 🤣
 
Tuliza boli, pupa ya nini, wataka kiishe haraka wakati SGR yenyu bado hamjaiona? 😂
SGR ya tanzania isikuumize kichwa phase 3 kwa mpigo ziko under constructions🤣🤣
Phase one 93%. 300km
phase two 61%. 422km
phase five 5%. 341km
 
this is wht kisumu stadia will eventualy look like!
kisumu stadium.jpg
 
yes!...... infact the president assured kisumu residents that the 2nd phase will see it thru' upto its completion! umefurahi
Second phase hapa munajenga nn acha kufanya watu wajinga humu ndani 🤣🤣👇
8E226076-AA44-4522-BAF2-7384D408199F.jpeg
 
Sawa, serikali imewaambia mjenge majumba yenyu msingoje kujengewa nayo! 🤣 🤣 🤣 Haya hakuna kulala tena, huko kazi tu! 🤣
Yani sio tu ardhi bei rahisi mpaka cement mchanga kokoto zote bei chee au unabisha ?🤣 kaeni mkiwaza kua ukirent bedsitter tayar ushakua middle class
 
SGR ya tanzania isikuumize kichwa phase 3 kwa mpigo ziko under constructions🤣🤣
Phase one 93%. 300km
phase two 61%. 422km
phase five 5%. 341km
Phase blah blah... Tulieni tumalize halafu muongee. Vichwa vya sgr bado kuwasili, so siwezi bishana na wewe. 😂
 
Yani sio tu ardhi bei rahisi mpaka cement mchanga kokoto zote bei chee au unabisha ?🤣 kaeni mkiwaza kua ukirent bedsitter tayar ushakua middle class
An average of 70% of Tanzanians are renters spending more than 25% of their monthly income to cover for housing expenses especially in major cities of Dar es Salaam, Arusha, Mwanza and Dodoma.
Je,wale wajenzi kila mmoja ana ghetto lake maana kila kitu rahisi huko!?
 
Back
Top Bottom