Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ikiuma chomoa, ikikwama sema tupake mate [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mm huwa napenda sana kutumia mate [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
sema hii wizara bana[emoji2363].. hiv sio vitu vya kuongelea.. waongelee wanasanii wanafaidika vip na haki zao.. ujenzi wa viwanja au sports academies.. arenas.. wanawasaidiaje wana michezo katika michezo ya kimataifa
ni moja kati ya wizara vichomi Tz,,,,


yaani huwa wapo wapo tu
 
Bongo mnaishi ndoto zenu wakati Dar yenyewe mmejaza uswazi kila corner!! Hizo ndio ndoto zenu?
 
Ziliusha wapi ni dikteta uchwara ndio alikua akiyafinika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…