Subutu, affordable housing kenya ni mambo mbaya we huwaoni pande hzo hawagusii manake wanajua ipo siku watakuja kutwa na mshtuko wa moyoYani zile cheap houses zinawafurahisha sana kisa wamepata angalau kasehemu kamepangwa kiasi. Alafu eti ni project ya serikali! Hizo unaweza linganisha hata na zile affordable houses ambazo serikali zinajenga huku Kenya?
Mchangieni mwenzenu jamani angaalu apate kulala uptown hata siku moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nairobi bila make up ni yakiboya sana,,,,jiji la nairobi ni lahovyo hovyo,,,
Kweli natafuta location nzuri ya kupiga picha 😀Bado anatafuta tu pa kupiga picha[emoji1787][emoji1787]
Hii ndo City under the sun?! Dah hayo maeneo mengine yatakuwaje sasa?!Unaweza ukatoka Nairobi ukifika Dar,unafikia kwa daktari kwa ajili ya check up ya afya. Muda wote wako na ile barabara ya mchina!,kumbe huku mambo kwa ground ni hopeless kabisa na huu ni wakati ambapo hakuna mvua, imagine wakati wa mvua. Aisee!Chai maarage 2021[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1801851
Hujapata bado mzee wa muthurwa[emoji1787][emoji1787]Kweli natafuta location nzuri ya kupiga picha [emoji3]
Mwenzako bado anatafuta pa kupiga picha[emoji1787][emoji1787]H
Hii ndo City under the sun?! Dah hayo maeneo mengine yatakuwaje sasa?!Unaweza ukatoka Nairobi ukifika Dar,unafikia kwa daktari kwa ajili ya check up ya afya. Muda wote wako na ile barabara ya mchina!,kumbe huku mambo kwa ground ni hopeless kabisa na huu ni wakati ambapo hakuna mvua, imagine wakati wa mvua. Aisee!
Kumbe unasubiria uende kw slums, santa sana dar vs slum areasJiandae picha za kariadudu na kasabuni kariobangi na korokocho ziko njian[emoji846]
Kwhyo sasa battle ni dar vs nairobi slum areas[emoji1787][emoji1787]niliwahi pita hiyo sehemu ni kuchafu mpaka sana,,,naona hapo ni mwendo wa githeri
Kumbe umekimbilia slum areas[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimefikia ubalozini Kwanza nipate cha mchana [emoji846]View attachment 1802276View attachment 1802285
😅😅😅 Wewe unajua hilo ni jengo la nini?Turkana offices, hakuna jipya hapoView attachment 1802187
Kariobangi,kariadudu na kasabuni hii hapa haya ndo maisha ya wenzetu asilimia kubwa Wanakaa huku Emu linganisha na ghetto za home[emoji846]View attachment 1802293View attachment 1802303View attachment 1802306View attachment 1802307View attachment 1802314View attachment 1802322View attachment 1802323
Slum city under the sun [emoji23][emoji23][emoji23]Nimefikia ubalozini Kwanza nipate cha mchana [emoji846]View attachment 1802276View attachment 1802285
😖😖🤮🤮🤮🤮🤧🤧Kariobangi,kariadudu na kasabuni hii hapa haya ndo maisha ya wenzetu asilimia kubwa Wanakaa huku Emu linganisha na ghetto za home🙂View attachment 1802293View attachment 1802303View attachment 1802306View attachment 1802307View attachment 1802314View attachment 1802322View attachment 1802323
kumbe ulikamatana naye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nlikua na bro wirlee nae namsubir atwange ma foto ya upande ule mwingine sababu mda ni mchache narudi home soon nime miss wali kisamvu[emoji846]
pole kwa maumivu,,,,Mchangieni mwenzenu jamani angaalu apate kulala uptown hata siku moja[emoji1787][emoji1787]
Sipati picha harufu mbaya iliyopo maeneo hayo [emoji23][emoji23][emoji23]Kariobangi,kariadudu na kasabuni hii hapa haya ndo maisha ya wenzetu asilimia kubwa Wanakaa huku Emu linganisha na ghetto za home[emoji846]View attachment 1802293View attachment 1802303View attachment 1802306View attachment 1802307View attachment 1802314View attachment 1802322View attachment 1802323
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kudadeki nairobi ni uozo mtupu,,,Nimefikia ubalozini Kwanza nipate cha mchana [emoji846]View attachment 1802276View attachment 1802285