Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama Iyumbu City imekupa orgasm namna hii je ukiuona mji wa kiserikali Mtumba c utalia kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kijana wa Tandale, organised residential areas nimeona Nairobi hadi nikachoka. Hiyo sehemu pakavu ni pa kumpa nani orgasm wakati tumezoea mandhari tulivu kama hizi in gated communities?


Pandeni angalau nyasi kwenye hilo eneo ndio mje kwenye meza ya mazungumzo!
 
Jamaa tushamjua[emoji1787][emoji1787]anakimbilia downtown kw sababu hko ndio bei za vitu nkm kule kwao uswazi middle class..
Kuanzia accomodation mpka vyakula na madanguro
 
Shebby01 umeumiza mtu huku, ona kilio hii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hta wewe ukija nai utakomea downtown[emoji1787][emoji1787]si nyie maisha yenu ya kiubwete ubwete basi utakomea hko alafu urudi dar ukajisifie km ukifika nairobi
 
Don't get twisted

Hiyo iyumbu satellite city kwa hizo quality za nyumba kwa huko Kenya ni very expensive lakini FYI hizo nyumba zote tayari zipo booked (nitakuwekea video) na ukiambiwa zimeuzwa bei gani kwa pesa ya Kenya ni very cheap

So hizo sio dream houses wala wealthy neighborhood kibongobongo

Dream houses za Dodoma ni kama hizi hapa, ambazo saivi zinajengwa kama uyoga huko Dodoma
 
GDP hailipi loans[emoji1787][emoji1787]
 
Wanasiasa unafiki ndo sifa zao, dodoma vinyumba vya uswazi ndo real estateπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unajua kenya kuna cities ngapi zinajengwa wewe😁😁
. Alaf hawa wabunge wenu walipita wakajionea wenyewe mambo, skiliza comments zao hapa πŸ‘‡
 
Wanasiasa unafiki ndo sifa zao, dodoma vinyumba vya uswazi ndo real estate[emoji23][emoji23][emoji23] unajua kenya kuna cities ngapi zinajengwa wewe[emoji16][emoji16]
Mazee..yani vijumba vya kipuuzi kweli eti kule kwao ndio wanajengwa kw ajili ya kukuza mji
 
Dreamhouses zenu tunazijua kijana. Ukitaka picha sema tukuletee
 
Mazee..yani vijumba vya kipuuzi kweli eti kule kwao ndio wanajengwa kw ajili ya kukuza mji
Yani zile cheap houses zinawafurahisha sana kisa wamepata angalau kasehemu kamepangwa kiasi. Alafu eti ni project ya serikali! Hizo unaweza linganisha hata na zile affordable houses ambazo serikali zinajenga huku Kenya?
 
Jamaa tushamjua[emoji1787][emoji1787]anakimbilia downtown kw sababu hko ndio bei za vitu nkm kule kwao uswazi middle class..
Kuanzia accomodation mpka vyakula na madanguro
Huyu usishangae analala kwenye zile guest houses za River road that have been run over by commercial sex workers
 
Umeongea kwa uzalendo sana. About dirty cities, umeangalia hii list ya Forbes ukajua Dar inashikilia naafasi ya ngapi hapa duniani?

Kuhusu swala la umasikini, umesahau mko kwenye tatu bora Africa?

Jipige tathmini ndugu. Usiwe mtu wa kuongea tu pasi na uelewa wa mambo!
 
Vipi huko UDSM? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚





Compare hapa! πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ 😎
The JKUAT Tech Expo
"A group of Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology (JKUAT) students have developed several innovations to help in the fight against Covid-19 pandemic. Among them are two portable solar-powered ventilators, a contact tracing application, a digital system that predicts Covid-19 infection trends in Kenya."
"Roy Allela’s,25,a Kenyan scholar who innovated a pair of smart gloves with flex sensors for the deaf."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…