Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa anapost picha sehemu wafanyibishara wametupa maganda alafua ywajufurahisha humu[emoji1787][emoji1787]

Shebby aliambiwa apost picha za uptown humu akakataa yeye bado amekaza na picha za downtown
Unafikiri mtanzania akija nairobi anaenda wapi except downtown? Huko ndio wanakutana na wale dungu na dada zao ombaomba wa downtown Nairobi wakajuane hali angalau. Si wajua wale ombaomba wao wamevamia yale maeneo kama nzige? They can't venture beyond Tom Mboya street kuingia Moi Avenue and beyond. Nazi ni kuzurura Nyamakima, OTC, River Rd na maeneo kama hayo kisha wanarudi zao Dar then wanajiamisha wamefika Nairobi

Secondly, everything is cheaper in downtown, from food to accommodation and everything. Apige picha akiwa Sarova Stanley ndani tuone coz nayo ipo cbd
 
Alafu akirudi achongewe sanamu, NDINDA amesuggest iwe pale clock tower [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sanamu lingine lichongwe pale makao makuu dodoma, alaf nafkir kwanni asipate na offer ya kampuni ya beer 🍻 tumfanyie mpango apate vocha ya miaka mitatu asibughudhiwe kabisa huyu bwana ..😂😂😂
 
Shebby01 umeumiza mtu huku, ona kilio hii[emoji24][emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Real-Estates ni jambo gani sana sana tz. nadhani wameanza ule mfumo wa kenya. wameanza kutu iga
 
Ngoja nikuibie Siri mzee nix 😂😂😂 Kariakoo (kk) huwa ni chafu lakini kwa uchafu huo 😂😂😂 hapana kwakweli, hakuna mji wowote Tanzania wenye CBD chafu kama hapo kwenu, kitu kingine ni aina ya magari 😂😂 nyie wajamaa ni maskini wa kutupa, huwezi Kuta hayo magari Dar hata siku moja, kama yalikuwepo labda ni 90s ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…