Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Najua kinachokuuma, pole sn utazoea tu, kuna ring road inakuja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni nini cha kuniuma hapo wakati gated communities ni jambo la kawaida huku kwetu? Unasahau ni mfumo mnajifunza kutoka Kenya? Gated communities ziko hadi Eldoret kijana wa Tandale so wacha kutokwa na povu. Halafu si ni kweli mnaita vitu kama hizo 'estates'. Iweje leo mnafurahishwa na 'estate'hadi kuziposti?
 
sio tu diamond na zuchu..
kenyareé pia tuna wasanii tajika walio bobea katika ulingo huu ama fani hii ya usanii. vipaji ilioje!.
then unlike tz, all our music and videos are locally produced within our boundaries, but for a video to be real in tz, it MUST! be shot in SA. same case with what nigerians do.. learn to be patriotic
 
Pia kuna mradi mkubwa wa mji wa kiserikali Mtumba under construction [emoji23][emoji23][emoji23]

Dodoma kutadamshi sana.
Na wala hatuiongelei humu, wakistuka itakuwa tunawaletea picha la kutisha kutoka Dodoma, kuna mmoja keshaanza kupagawa na Iyumbu wkt bado haijafika hata asilimia 30 ya itakavyokuwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Subiri nipo njiani napitia kariadudu/kasabuni/kariobangi na korokocho tulinganishe maghetto Yao na ya home[emoji846][emoji846]
Una ulinzi kaka wala usijali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Eti mwalimu wako wa geography ndio alivyokufindisha, 😂😂😂 kumbe huo upumbavu mnatiwa na walimu 😂😂 aah badilisheni waalimu sasa hao hawajui kitu na huyo mwalimu uskute aliambiwa na mwalimu wake😂😂
 
Inferiority complex huwa inawasumbua sana watanzania. That place is so dry for anybody's liking to begin with.

Kama ni hiyo mfumo wa organised housing ndio inakupa nyege, mbona ni jambo la kawaida huku Kenya? Anyway, we understand coz you never find so many such organized residential areas in Tanzania. That's why you often refer to them as 'estates' whatever that means. It's such a normal thing here in Kenya
 
Maneno zote hizo ni kwasababu ya Iyumbu City [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama Iyumbu City imekupa orgasm namna hii je ukiuona mji wa kiserikali Mtumba c utalia kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…