Oti Gulliegad
waTz mmeabisha sanah East Africa....wazungu hawatambui kiswahili....kujeni Kenya mjue kizungu chote...Kenya will offer this for free....Tanzania is so broke to hire English teachers ... # TZ_kueni_wajanja
Like · 1 · Reply · Report · 6 hours ago
3 replies
Wakenya Ni viumbe wa Ajabu kweli,
Once Mugabe said, God shouldn't have created those Kenyan Thieves
He even believed the snake coerced Eve in Eden came from Kenya.
Pale kwenye Ukurasa wa Rooney panatembelewa na Mamilioni ya Watu Duniani kote, ni sehemu muhimu kwetu watz Kukitangaza Kiswahili chetu pendwa Duniani,
And that's what we Did. They have to Learn Swahili so long as they Need us. We can't keep learning what is theirs always, they Have to learn what is ours.
Kama Rooney Ameandika post kwenye page yake kwa Lugha yake ya Taifa, kwa nini Ushangae Mtz kucoment kwa Lugha yake ya Taifa?
Kuna kitu hamuelewi wakenya.
There is no TANZANIA without SWAHILI,
Bila kiswahili tungekuwa ni nchi ya hovyo kama Kenya.
Na tutatangaza kiswahili Dunia nzima hadi mpasuke na sura zenu mbovu hizo.
Tayari UG, RW, South Sudan, Burundi, DRC na hata Kenya Nchi ya Looters mnatumia Kiswahili,
Sisi watz ni Waswahili from our Blood, na tunauishi uswahili, Swahili is our Life, we are proud of It.
Now many countries Love, and they are Learning our Swahili, huoni kama ni Jambo Jema?