Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Empts seats....watu hawana pesa maisha magumu😀😀😀😀😀😀
View attachment 542409
Halafu kule juu kuna rangi za bucha unaweza hisi kuna Viti, hakuna aisee. Ni zege limepakwa rangi,
Uwanja wa namna hii unaweza beba hata watu 150,000 maana hauna Viti vya kukalia, mnaminyana humo hadi mnaenea.
Kama vile abiria wakisafiri kwa Fuso au Tipa.
 
SGR yenyewe majanga ishaanza kusumbua
😀😀😀😀😀😀😀😀
Hayo madude yalitumiaka kipindi cha Vita ya Kwanza ya Dunia,
Jubilee and the Chinese just repainted them back to Kenya,
Wametokwa mapovu weee sasa wametulia.
Jubilee wana mahesabu ya Mbali sana hawa watoto wadogo hawawezi kung'amua.
 
Boaz Otieno
Wa TZ kujeni Kenya tuwafunze Kiingereza, Kiswahili hamna mahali mutaenda nayo kote Duniani, Tanzanians plz come to Kenya we teach you English, Kiswahili is only 4 Country language which can't be used internationally, Your President John Pombe Magufili must put it into law don't be adisgrace with your Kiswahili comments here.
Like · 16 · Reply · Report ·
Yesterday at 21:49
Eric Asewe replied · 83 replies
Prince Martin
Wayne, We as Kenyans will comment on behalf Of The Tanzanian's, those folks speak another "thing" you can never understand. A language which we don't know it's origin.
Like · 56 · Reply · Report ·
Yesterday at 22:13
Christine Bernard replied · 71 replies
Even you, you can't write n speak Swahili. Kujeni, Mutaenda?
 
Uwanja wa kisasa africa umeanza kujengwa dodoma amabao utachukua watu 90,000
Uwanja utakua na ukubwa wa acres 314
Screenshot_20170715-082403.jpg
Screenshot_20170715-082902.jpg
Screenshot_20170715-082943.jpg
 
Hayo madude yalitumiaka kipindi cha Vita ya Kwanza ya Dunia,
Jubilee and the Chinese just repainted them back to Kenya,
Wametokwa mapovu weee sasa wametulia.
Jubilee wana mahesabu ya Mbali sana hawa watoto wadogo hawawezi kung'amua.
😀😀😀😀 sasa treni ya mizigo zamani ilikua inakimbia speed 55km/ hr hii ya sasa hvi inakimbia 80 km / hr sasa kulikua kuna haja gani yakuingia mkopo amabao utagharimu taifa more than 3.5 b $
 
The stadium couldn't spare you from LDC status hahaha. munaonewa kweli......oh wakenya walibribe IMF. ....hahaha
 
Sasa hivi Nairobi wanatembelea records za nyuma. Kusema kweli kiukweli wanapumulia mashine.
Tunawapa dozi za maana.
 
Back
Top Bottom