Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hakuna mKenya hufuatilia mambo ya tz. trust me.
[HASHTAG]#MukoDown2sana[/HASHTAG]
Sasa hizo comments zenu wakenya kuhusu Rooney kuja tz si upumbavu.

Hivi nyie mnadhani tukiamua kuanza kujibu mapigo si mtapotea kabisa. Huwa tunawaona wakenya kama wehu fulani.
 
Lazima useme hivyo coz vijana wa mjini unawaelewa shughuli yao. Pole sana kwa ukatili iliofanyiwa mkuu uliokupelekea kuwa na hali hiyo ya kuhara hovyo.
Vp nawe unataka kua mtanzania pia
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Wanyama Hao ...wanapanda ...Mzizima Towers 35fl ,33fl

37848fba3df770a5057e1f3b2b8b90b4.jpg
Splendid
Sky tower 23flr at Kijitonyama CBD Topped out

55cf2ffdd60a8a399956d4049ce49603.jpg

Morroco Square ..inakarbia Kuisha
Hotel Done

3bbe54a1e8ad36b1df174b535a40a925.jpg

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Na hapo ukumbuke watalii 2016 tanzania imeingiza watalii 1.3 million

Tz imeingiza wataliii wengi kuliko Kenya 2016 ...ila point ni kwamba hatuna strong airline ..which iifanye Dar JNIA kuwa Hub ..we are on re making of our airline ..watu wengi east africa wanatumia JKiA kama hub
 
Sasa hizo comments zenu wakenya kuhusu Rooney kuja tz si upumbavu.

Hivi nyie mnadhani tukiamua kuanza kujibu mapigo si mtapotea kabisa. Huwa tunawaona wakenya kama wehu fulani.
brathee... si wewe ulirudi hapa baada kukaa hospitali mwezi mzima na bandages kichwani kwa kile kipigo cha [HASHTAG]#TzvsKe[/HASHTAG] Twitter??? kwanza vua io mask tuone kama ulipona izo alama
 
Tz imeingiza wataliii wengi kuliko Kenya 2016 ...ila point ni kwamba hatuna strong airline ..which iifanye Dar JNIA kuwa Hub ..we are on re making of our airline ..watu wengi east africa wanatumia JKiA kama hub
Ndio i know lakini kenya imeloose its status baada ya makampuni mengi kuanzisha direct flight to dar ndio limekua pigo kwao

Tanzania overtakes Kenya as regional tourism hotspot
 
Back
Top Bottom