Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Boaz Otieno
Wa TZ kujeni Kenya tuwafunze Kiingereza, Kiswahili hamna mahali mutaenda nayo kote Duniani, Tanzanians plz come to Kenya we teach you English, Kiswahili is only 4 Country language which can't be used internationally, Your President John Pombe Magufili must put it into law don't be adisgrace with your Kiswahili comments here.
Like · 16 · Reply · Report ·
Yesterday at 21:49
Eric Asewe replied · 83 replies
Prince Martin
Wayne, We as Kenyans will comment on behalf Of The Tanzanian's, those folks speak another "thing" you can never understand. A language which we don't know it's origin.
Like · 56 · Reply · Report ·
Yesterday at 22:13
Christine Bernard replied · 71 replies
mmmmh wewe Lewis wewe achana na uhenga yani unajivunia kujua kingereza huo ni ukoloni akilini mwako mara mia mtanzania anaejua kiswahili cha kwao sio we utakuta wangapi hapo kwenu hawajui kiingereza na bado kiswahili hawajui yani mbaya zaidi kunawengine hata kilugha cha nyumbani hawajui yet unajisifu ni sawa n kusema (dah huyu mkoloni anajua kuniadhibu hadi raha)acha ujinga kiswahi ni lugha ya pili kuzungumzwa africa ikitanguliwa na arabic so you ga to wake up bro .wakenya buanaaaaaaa hamuipeeeeeeendi Tanzania ila ndo ivo kwa raha zeeeetu twala ubuyu sie ama waonaje weye .ahahahahahahahaha dah bwana weeeww

Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa huipendi Tz ehhe
eti hawatupeeeendi jamani nyie mi wakenya nawapendaaa afu si ndo babaenu kila kona kwenye burudani,michezo maujanja pale kati lugha pendwa na hadhimu ya kiswahili,umoja na mshikamano,na sasa ni katika maendeleo nabado

hayo sio maneno yangu bro. ila mutaongeaje Kiswahili kwa fb page ya Rooney?
duh!
 
mchezo wa kuwinda albino maybe.
 
ujinga ni kujifanya hupendi English na unajiita sijui
Sophie John
William Grace
Rose Jane

wabongo jameni....hahaha
 
Ndio lugha yetu we ulitaka tuongee nn na kuna haja gani yakueka language translator..itakua haina maana sasa...
sasa kisha unatarajia Rooney achukue time yake ku translate kila comment ya Kiswahili hapo?
 
We acha ushamba siku hizi mitandao ya kijamii ukiandika lugha tofaut na english kwa pembeni wanakuletea translate....
hata mchina ataandika kichina kila mtu...inamaana wewe mother tongue yako ni english????😀😀😀😀😀😀
Munapenda uzungua wakati mwafrika
 
hayo sio maneno yangu bro. ila mutaongeaje Kiswahili kwa fb page ya Rooney?
duh!
kuandika kiswahili kwenye page ya Rooney tayali unapata usemi usemao JASILI HAACHI ASILI NA MKATAA KWAO MTUMWA .NAKIPENDA SNA KISWAHILI NAIPENDA SANA NCHI YANGU TANZANIA KWERI NIYAKIPEKEEEEEEEEEE.

Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
 
mchezo wa kuwinda albino maybe.
hamna kaka El matador kwanza asante kwakukubari vingine make hadi kuchomoa iki kimoja inamana ndo hujakubariana nacha au hujakielewa ngoja nkueleweshe sasa sisi tulikuwa chini na sasa tunapanda katika nafasi za fifa tumepanda juu na sio ivo tu hata hao wakina rooney kuletwa kwetu na sport pesa kucheza tayali.ni credit we unadhani ni mataifa mangapi yameifaham zaid inchi yangu pendwa au ni watu wangapi wameuona wanja bora zaidi afrika mashariki.ahahahahahahahahahahahahah afu albino killings ni sawa na tu na halo ilio kuwako kenya ya yule muungu wenu na sasa hatuko ivo tena tulishaacha sijui nyie vp na ukabira ulishaisha huko kaka???

Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
 
ujinga ni kujifanya hupendi English na unajiita sijui
Sophie John
William Grace
Rose Jane

wabongo jameni....hahaha
huo sio ujinga bwana haya ni moja ya mambo ambayo tushaanza kuachana nayo we hujaskia skuiz tuna hata blogs zetu zinazo toa orodha za majina ya kiswahili kama Tausi,maua,upendo,sikitu ,bhoke,asali,pendo,nk.na hata ya kilugha kama lusekelo,nk kwahiyo hii ni alama tosha kwamba colonialism haina nafasi kwa mtanzania labda hapo kwenu make mmmmh kila kitu mzungu haya

Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
 
We acha ushamba siku hizi mitandao ya kijamii ukiandika lugha tofaut na english kwa pembeni wanakuletea translate....
hata mchina ataandika kichina kila mtu...inamaana wewe mother tongue yako ni english????😀😀😀😀😀😀
Munapenda uzungua wakati mwafrika
mwambie bro make kujitia wanajua kingeleza na kujisifu kuwa hodari sana katika hilo akati lugha mama zao hawazijui kingeleza chenyewe cha kijaluo yani hovyo kuanzia accent na kila kitu basi jitume ujivunie hats kiswahili ni chetu sote

Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
 
We acha ushamba siku hizi mitandao ya kijamii ukiandika lugha tofaut na english kwa pembeni wanakuletea translate....
hata mchina ataandika kichina kila mtu...inamaana wewe mother tongue yako ni english????😀😀😀😀😀😀
Munapenda uzungua wakati mwafrika
yep. English is my no. 1 language! Followed by Swahili and Deutsch
 
Osterbay
e3e63d86eacd34f519e2e88baeffc1b5.jpg

5a37a7a28bd4dfc41e979b7a7a74d4b8.jpg
M.Hotel dsm

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
kuandika kiswahili kwenye page ya Rooney tayali unapata usemi usemao JASILI HAACHI ASILI NA MKATAA KWAO MTUMWA .NAKIPENDA SNA KISWAHILI NAIPENDA SANA NCHI YANGU TANZANIA KWERI NIYAKIPEKEEEEEEEEEE.

Sent from my itel_it1503 using JamiiForums mobile app
Tanzania kweri ni ldc 😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom