Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe kwa ss sipaswi kukujibu, nimekwambia pumzika Mana hata Wakenya wenzako wanashangaa unapoongelea electricity btn Kenya and Tz [emoji3][emoji3]

Pumzika kwanza wacha hii thread umechoshwa na uzazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
πŸ˜¬πŸ™†πŸΎβ€β™‚οΈ
 
Facts about Kenya and Tanzania on electricity.

8.5 million customers are connected to electricity in Kenya.

Only 2.7 million customers are connected to electricity in Tanzania.
[emoji2][emoji2]
 
Wakenya mchukueni kilaza mwenzenu huku anatapika uharo everytime
 
Mbona povuu!!
Alafu tena mbona una wasi wasi wa kunijua mie, toa shaka mzee ..ukija mombasa nitafute ingawa kw mtazamo wangu sina hamu na wala sitaki kukujua wewe..lkn uki force mbona utanijua tu, nitakupa offer nikupeleke mpka kwangu
 
bwana mapesa, Dar tu ina watu 6mil.. na 90% are connected to electricity in Dar.. umeona unakofugia akili? [emoji527]
I don't blame your stupidity. This is according to your minister of energy confirming that only 2.7 million customers are connected to electricity in Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Najua watanzania hawapendi ukweli.

 
Wait a minute,ule mwaka wa mlipuko wa COVID-19 ,mlizalisha nn cha kutengeneza $119B? Tumia akili yako vizuri acha ukanjanja
Najua inawauma kuwa uchumi was Kenya ni twice that of Tanzania πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£.
 
Yah vijijini kote kunawaka kwa ss iwe nyumba ya udongo au block ndo mana nashangaa mkijilinganisha na cc kwenye electricity connectivity.
Hehehe siku mtatoka kwa 40% unitagπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


 
Najua inawauma kuwa uchumi was Kenya ni twice that of Tanzania 🀣🀣[emoji23]🀣.
Hata ungekua 4x mm sina shida...nataka unieleze mlivyojifungia vile mmewezaje kukuza uchumi?Usijaribu kunidanganya
 
With 1000 ya Kenya I can Drink 4 beers hapo Nairobi, but I can drink 10 beers hapa Bongo, meaning that it can do more in Tz and do less in Kenya.
Umeelewa sasa mwanamke?
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 au wanawake vichwa vyao ni maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…