Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata hamuoni aibu kuwa mko na nchi kubwa lakini Bado uchumi was Kenya na mara mbili ya ile ya Tanzania.
Yah na ndiyo maana tuna modern public transport, tuna modern railways, tuna modern airpots, tuna better access to water, tunajenga bwawa kubwa la umeme ili tuwauzie nyie mlio kwenye blackouts za kila siku, tunajenga meli kubwa na za kisasa, tunanunua ndege mpya na za kisasa kabisa, tunawalisha etc
 
Ndoto za alinasa! 🤣 🤣 🤣 Well done...
 
Yah na ndiyo maana tuna modern public transport, tuna modern railways, tuna modern airpots, tuna better access to water, tunajenga bwawa kubwa la umeme ili tuwauzie nyie mlio kwenye blackouts za kila siku, tunajenga meli kubwa na za kisasa, tunanunua ndege mpya na za kisasa kabisa, tunawalisha etc
Which modern transport do you have? Unaongelea zile buses mbovu zenye matope ama?
Which modern railway do you have? You don't have a functional railway so shut up.
Which airports do you have? Are you talking about those that can't handle 4m passengers when put together.
Alafu usiwahi ongelea mambo ya electricity hata kidogo juu Bado mko kwa 40% wakati kenya inacheza kwa 85%.

In short Tanzania is below Kenya in everything.

image_52717f69-6116-4c88-8d58-fa54c1b9cdaf20210323_064236.jpg

Passenger Statistics - East African Countries.png
 
Which modern transport do you have? Unaongelea zile buses mbovu zenye matope ama?
Which modern railway do you have? You don't have a functional railway so shut up.
Which airports do you have? Are you talking about those that can't handle 4m passengers when put together.
Alafu usiwahi ongelea mambo ya electricity hata kidogo juu Bado mko kwa 40% wakati kenya inacheza kwa 85%.

In short Tanzania is below Kenya in everything.

View attachment 1801102
Hajui electricity in KE is a gaddamn basic need in every household.😂
 
KIGOMA: Nyumba ya tembe iliyounganishwa na umeme yazinduliwa na Waziri! 🤣🤣🤣🤣
WTFH!!! That's the 40% they're talking about, what a mess! Ata mwanafunzi wa shule ya msingi atakwambia what they're doing is dangerous, hahaha... To make it worse govt officials are involved, oh no, what's this now! 🙆🏾‍♂️😬😂🤣🤣🤣🤣
IMG_20210502_175555.jpg
 
Facts about Kenya and Tanzania on electricity.

8.5 million customers are connected to electricity in Kenya.

Only 2.7 million customers are connected to electricity in Tanzania.
 
Yah na ndiyo maana tuna modern public transport, tuna modern railways, tuna modern airpots, tuna better access to water, tunajenga bwawa kubwa la umeme ili tuwauzie nyie mlio kwenye blackouts za kila siku, tunajenga meli kubwa na za kisasa, tunanunua ndege mpya na za kisasa kabisa, tunawalisha etc
This is the modern public transport the hawker is talking about 😂😂🤣🤣👇👇👇

2634868_12585938_brtpic_jpege4165b1577a261f6e62b20ff04f5d701.jpeg
 
Na hapo umesahau, ukija lazima tukukate kodi km zote so iyo elf 1 ya Kenya itakuwa na faida km atakuwa nayo mTz na sio mkenya na ndiyo maana unaambiwa elfu moja ya Kenya co kitu kwa elfu 10 ya bongo.
Bwahahaa!!kwhyo mkenya akienda kariakoo ku purchase vitu anakatwa hela extra ya kodi..we mzee tena unajielewa kisha ama ni kujiropokea mambo kw kujifurahisha tu hapa.
 
With 1000 ya Kenya I can Drink 4 beers hapo Nairobi, but I can drink 10 beers hapa Bongo, meaning that it can do more in Tz and do less in Kenya.
Umeelewa sasa mwanamke?
Elfu ishirini ya tz inanunua beer ngapi kenya mzee
Simple logic tu lkn bado inawashinda
 
Back
Top Bottom