Nimecheki hio mechi ilikua taiti Sana.looks like Rwanda wanataka kuspecialize in Basketball sport over football sport ..
United States International University-Africa, nairobi, kenya!University of Dar es Salaam View attachment 1799610
I was just informing you to remove your ignorance, you can easily ignore.Nani kakuuliza yote haya 🤣🤣🤣 so no eatates and villas in karen???🤣🤣🤣 and who took that land from white ???
Dar imechoka mbaya😂😂😂
Endelea kujidanganya na huku ukijua ukweli kuwa mambo kwa ground ni tofauti sana.Na tunaendelea kukariri [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 1799793View attachment 1799794View attachment 1799796
Bahati nzuri tunawafahamu nje ndani maana tabia za kikuyu na jaluo huwa hazibadiliki miaka nenda rudi [emoji23][emoji23][emoji23]Wakiwa twitter wanalia huko wakija hapa wanajitia wazalendo kwneye hamna[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dangote ametoa ajira nyingi sana kwa Watanzania na bado anaendelea kutoa.nyinyi ni wageni wawili[emoji111] tu! dangote na billgates,..
acha bado nifanye upekuzi ya watu mashuhuri walio wahizuru hapa nchini kenya
Na Venye mdai nyie sio wakabila😆😆😆Endelea kujidanganya na huku ukijua ukweli kuwa mambo kwa ground ni tofauti sana.
Poor jaluo.
Ndio ni kweli sisi sio wakabila.Na Venye mdai nyie sio wakabila[emoji38][emoji38][emoji38]
Sisi si wakabila Ni kupenda tunapenda Lugha Zetu Sana,si Kama TZ kila mtu aligeuzwa na Nyerere Mukawa waswahili wote😃Ndio ni kweli sisi sio wakabila.
Sijawahi kubaguliwa kisa kabila langu.
Sijawahi kosa kazi kisa kabila langu.
Sijawahi cheleweshewa huduma kisa kabila langu.
Tabia za kikuyu na jaluo huwa hazibadiliki miaka nenda rudi ndio maana kwa kuangalia tu humu unaweza gundua huyu ni kikuyu na yule ni jaluo.
Kupenda lugha zenu ndo mchinjane?Sisi si wakabila Ni kupenda tunapenda Lugha Zetu Sana,si Kama TZ kila mtu aligeuzwa na Nyerere Mukawa waswahili wote[emoji2]
Heri sisi Nyinyi mumeishi kukaliwa na kupigwa miaka nenda miaka Rudi na CCM #Chama Cha Kisukuma😂😂😂atleast Kenya Ni Raia wanapigana na si Jeshi ya SukumaKupenda lugha zenu ndo mchinjane?
Kupenda lugha zenu ndo mbaguane?
Stupid reply.
Kwamba mlidanganywa kuwa Watanzania hatufahamu lugha zetu za kikabila ili muone ukabila ni sawa!
CCM ina wanachama wa makabila mbalimbali sio kama Jubilee ya wakikuyu na odm ya wajaluo.Heri sisi Nyinyi mumeishi kukaliwa na kupigwa miaka nenda miaka Rudi na CCM #Chama Cha Kisukuma[emoji23][emoji23][emoji23]atleast Kenya Ni Raia wanapigana na si Jeshi ya Sukuma
Wacha urongo Mbona maendeleo yote yanapelekewa Wasukuma Kama sio Tribalism,kwanza Nyinyi mumeishi kuongozwa kwa Kifua😃CCM ina wanachama wa makabila mbalimbali sio kama Jubilee ya wakikuyu na odm ya wajaluo.
CCM ikiletwa kutawala kenya ndani ya muda mfupi tu mnasahau ukabila.
CCM ndo huwa inakuja kuwapatanisha mkichinjana ovyo kwenye chaguzi zenu na next year mkichinjana itakuja tena.
Katika vitu nimekuuliza hakuna chochote ulichojibu zaidi ya kuandika ujinga kama kawaida ya mapo po ma ya kikunya.
Maendeleo yapi wamepelekewa wasukuma?Wacha urongo Mbona maendeleo yote yanapelekewa Wasukuma Kama sio Tribalism,kwanza Nyinyi mumeishi kuongozwa kwa Kifua[emoji2]