Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu mchanga ndio unaita zege boss? Ni macho huna ama ni akili? 🀣 🀣 🀣

View attachment 1798200
Nyumba unazionaje ?? Za kifakhari au sio za kifakhari rudi kwenye mada ya nyumba kwanza 🀣🀣🀣 hapo kila mmoja amejenga nyumba ya dream yake sio ile ya kurent besitter alaf munaitwa middle class
 
Is that dream house ???🀣🀣🀣 au investor anajenga nyumba mia kwenye compound yake alaf kazi yenu kwenda kurent apate pesa ya kununua ardhi nyingine ajenge tena mukapange manake munazaana kama kuku lakini ndoto ya kumiliki ardhi hamuna mpaka dunia itasmamaπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Yani wanahangaika kuona wanasoma number yetu kwenye mambo ya msingi
Siku hzi munapost nyumba wanazoishi farmers walioajiriwa kwenye mashamba ya chai ???🀣🀣 ndio mumefkia hapo
 
tuusan this is Eastlands, where majority of Nairobians live. The equivalent of Uswazi in Dar.

Wamerent au wamenunua?? Hebu nijibu tuone??🀣🀣🀣🀣 Zinamilikiwa na taasisi ya serekali wakishirikiana na investors je wame rent au wamenunua??? Bila hasira plz
 
Gari ya mumbis! Ukimpa Mumbi Bentley na Probox achague, a Mumbi will go for a probox as that is the only car their World knows!
Yani hio ndio dream car yao sasa anafananisha na dream house 🀣🀣🀣 yani mijitu mijinga hii sijapata kuona
 
That distance tu hakuna estate yoyote Nairobi yenye that huge size of area na bado hapo hata theluthi ya masaki hajacover

Ingekua ni estates za Nairobi umbali huo tayari angekuwa keshafika kajiado na matakozπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Masaki ni kubwa sawa na mombasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Semi illiterate vipi kaka braza.,,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Wakenya wataendelea kununua na kujenga utake usitake, umasikini wa kiaina wa Tanzania baki nao wewe., laana zako hazitofaulu kwa Kenya, fikra zako ni za ki witchcraft hivi., ama wewe ni sorcerer? Unatamani na kuombea mabaya wa Kenya, na kukomesha, hapa ni mwamba, ukweli tumeanika wivu sasa imekujaa hadi basiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., vumilia tu., ni kama una amini majini wewe, vile una reason wewe!.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Utateseka kabisaa hadi upate ukombozi.πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Slum dwellers wanachangamka, not just boda boda riders alone, give them next few years.., aggressiveness πŸ’ͺ.sio uzembe na hadithi za vijiweni.,





Mtu ana anzisha company, slum dwellers buy stake in it, yaani wanaelewa biashara ya ulimwengu wa sasa, owning shares. Je south?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…