Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tuusan this is Eastlands, where majority of Nairobians live. The equivalent of Uswazi in Dar.

😂😂😂. Duh hatari haya mbona ni mabweni ya shule yalivyokaa, ngoja kidogo ..Avic town ni gated community ndogo sana kulinganisha na huo uchafu wenu hapo, heb jaribu kulinganisha quality roads na usasa wa mtaa alaf utajua kwanini real estate tz ni expensive kuliko kwenu kunya land, take a look
 
Chunya hiyo,vijana wa kibongo wakijidai kwenye mkeka,nje ua nrb ukuti mkeka km huo kamwe
 
Attachments

  • VID_198720428_120416_140.mp4
    3.7 MB
Huyu jamaa mbona huwa anaji-brand saana ila sioni hata moja ya miradi yake ikikamilika? Kwangu mie kama anakaa tapelitapeli!
 
Hamna zege humo wala udongo kama unavyojidanganya .. okay okay, siitaji maneno mengi kueleza hapo panafananaje, hii apa down town MASAKI 👇 . Alaf utaniambia umeona hata chochoro ya barabara ambayo siyo paved..?
Naona mnajaribu kutengeneza tengeneza ila bado. Most are still unpaved.
 
Naona mnajaribu kutengeneza tengeneza ila bado. Most are still unpaved.
That distance tu hakuna estate yoyote Nairobi yenye that huge size of area na bado hapo hata theluthi ya masaki hajacover

Ingekua ni estates za Nairobi umbali huo tayari angekuwa keshafika kajiado na matakoz😅😅😅
 
Lol, wewe unajua area ya Karen wewe? 🤣🤣🤣 Use Google maps. Hakuna haja tusumbusne.
 
Mm nihangaike na ww kwan mm kenya mgeni ama??🤣🤣🤣🤣 zinanunuliwa na wenye uwezo majority ndoto hio hamuna mpka dunia itasmama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…