Hizo ndio akili zao. Eti mtu amejijingea nyumba ya rooms tatu hapo Mwananyamala is living in a dreamhouse kuliko mwingine aliyenunua 5 bedroom mansion pale Runda. Insanity!The concept is the same, gari la kununua limetengenezwa na wataalamu kwa hivo litakuwa bora kuliko ulilojitengenezea. Vilevile, nyumba ya kununua imedesigniwa na wataalamu na kujengwa na wataalamu, sio kama hizo vibanda zenu za ebu weka hapa bafu alfu pale choo na uniwekee chumba cha kusomea pae.
Yani ujenge kibanda kama hivi mnavoposti hapa hapo tandale na mimi ninunue Mansion kama hii kwa video alafu uniambie wewe unaishi kwa dream house na mimi siishi kwa dream house kisa nimenunua nawe ukajenga? 🤣 🤣 🤣
Unachagua aina ya gari sio lazma ununue probox ndio uwe na gari 🤣🤣🤣🤣Hivi tuseme pia dream car yako utajitengenezea ama vipi? 🤣 🤣 🤣 🤣
Jenga nyumba ndo utajua utofauti mkubwa wa kujenga nyumba mwenyewe from the scratch na nyumba ya kununua...otherwise house haifananishwi na gari mzeeThe concept is the same, gari la kununua limetengenezwa na wataalamu kwa hivo litakuwa bora kuliko ulilojitengenezea. Vilevile, nyumba ya kununua imedesigniwa na wataalamu na kujengwa na wataalamu, sio kama hizo vibanda zenu za ebu weka hapa bafu alfu pale choo na uniwekee chumba cha kusomea pae.
Yani ujenge kibanda kama hivi mnavoposti hapa hapo tandale na mimi ninunue Mansion kama hii kwa video alafu uniambie wewe unaishi kwa dream house na mimi siishi kwa dream house kisa nimenunua nawe ukajenga? 🤣 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sio tu hana hata ile ndoto ya kumiliki plot nairobi hana kilicho akilini mwao ni kwamba ukiweza rent bedsitter basi ni middle classHuna house ndo maana hujui thamani ya house,unafananisha house na car?!..are you okay upstairs??!
🤣🤣🤣👇👇👇👇 na hii munaitajeHii ndio inaitwa technical knockout 😂 😂 😂
Unachagua aina ya gari sio lazma ununue probox ndio uwe na gari 🤣🤣🤣🤣
dream house ni ile unajenga vile nyumba ww muhitaji unataka sio upange kwenye estate house alaf useme ndio dream house wala usilzmishe chai iwe soda
Jibu swali kijana. Unasema mzungu ana akili kisa kaleta picha za slums Kenya. Huyu mwingine ambaye ameleta picha za Dar na kuziita slums hana akili?Alaf kibera wanaishi watu weupe🤣🤣🤣
Ichoboy jamaa yako anataka figure ya over 70%...Hyo figure umetoa wapi?
Hyo figure umetoa wapi?
Nishampa tayar🤣🤣Ichoboy jamaa yako anataka figure ya over 70%...
Kwani mulipokua munadanganya wazungu mlima kilimanjaro uko kenya walikua hawaamini???🤣🤣🤣 tatizo wewe uelewa wako ni mdogo sanaJibu swali kijana. Unasema mzungu ana akili kisa kaleta picha za slums Kenya. Huyu mwingine ambaye ameleta picha za Dar na kuziita slums hana akili?
Utasikia amewekeza kiwanda cha barakoa Kenya.chinese richest person, Jack Ma in kenya to establish Alibaba african headquaters in nairobi kenya!. infact it was a mistake for Dangote to go to tz,. kenya is the hotbed of foreign investments and perceived as the best alternative to south africa if you are thinking of tapping into the entire african marketView attachment 1796803View attachment 1796814
Njoo Nairobi nikuonyeshe nyumba za kununua utajidharau. Nyumba iliyojengwa na wataalamu halafu ukitazama nje barabara zimetengenezwa zikawa safi. Sio hizo vibanda zenu tacky alafu ukitoka hivi nje ya compound barabara ni vumbi tupu kitambo ufike town Mercedes yako imejaa vumbi inakaa yenye imetoka jangwani. 🤣 🤣 🤣Jenga nyumba ndo utajua utofauti mkubwa wa kujenga nyumba mwenyewe from the scratch na nyumba ya kununua...otherwise house haifananishwi na gari mzee
Na akikuonesha hcho kiwanda nitag mm🤣Utasikia amewekeza kiwanda cha barakoa Kenya.
Nyumba za kununua ziko wapi hazionekani?? Au ni invisible ??😀😀😀 yani tajiri anakwenda kununua au kurent nyumba ndani ya estate alaf ukiulizia hzo estates wamiliki ni wakuhesabu alaf muwe na ndoto ya kumiliki ardhi labda dunia ianze tenaNjoo Nairobi nikuonyeshe nyumba za kununua utajidharau. Nyumba iliyojengwa na wataalamu halafu ukitazama nje barabara zimetengenezwa zikawa safi. Sio hizo vibanda zenu tacky alafu ukitoka hivi nje ya compound barabara ni vumbi tupu kitambo ufike town Mercedes yako imejaa vumbi inakaa yenye imetoka jangwani. 🤣 🤣 🤣
Kwa hivyo hizi nyumba mlizojijingea Dar ni bora kuliko hizi hapa za kununua Nairobi? Uko na akili ukweli wewe?🤣🤣🤣👇👇👇👇 na hii munaitaje
Wooow nice movehizi timu 4 ndo zinashiriki CAFCC na CAFCL za CAF.. zimepewa bonge la boost
View attachment 1797213
Kwn tajiri ndio hawezi kuwa mpigajiDangote hana lolote????...kuna mkunya yoyote anaweza kuukaribia utajiri wake??..huyo mtu tu wa USD 1 bill Kenya hakuna,halafu unamletea dharau dangote,jifunze kuheshimu watu boya wewe
Badala ya kujibu swali unatoa povu. Kilimanjaro imetoka tena wapi. Nataka tu kujua kama wazungu wengine ni werevu na wengine ni wajinga. Hiyo tuKwani mulipokua munadanganya wazungu mlima kilimanjaro uko kenya walikua hawaamini???🤣🤣🤣 tatizo wewe uelewa wako ni mdogo sana
usilazmishe chai iwe togwa hilo haliwezekani mpaka dunia itasmama