Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wamarekani wenyewe waliozaliwa kwenye huge mansions huko New York LA

Wanachanganyikiwa wakija Tanzania kutokana na mijumba ya kifahari na kwa bei cheap ilivyo sheheni

Saivi Tanzania inapokea thousands of black Americans wanaohamia Africa in a catastrophic frequency









 
Nchi maskini kuliko zote hapa EA inajulikana wala hiyo sio kitu cha kujadili. Kama hujui uliza world bank
 
mkono mtupu haulambwi hebu njoo na view inayoonyesha hizo individual houses kama nilivyokuonyesha mimi...

pili hayo masuala ya mtu kujenga apartment na kuuza ni itu vya kawaida huku pia vinafanyika tunachokucheka wewe almost 100% ni estate
usipinge,,,

lete picha zinazoonekana kuhusu hayo maeneo pia uje na jina
 
Hatutawahi kufanana wazee wa kukaa kwenye mabweni na hamna choice
Mimi 'huenda' ninakaa kwenye moja ya hizi mabweni hapa

Utanilinganishaje na wewe unayeishi kwenye moja ya hizi six bedroom dream houses with jacuzi and basemen parking with air-conditioning?
 
Kwa bahati mbaya I had a hard time finding good aerial photos za hizo maeneo nilileta ie Ruai, Syokimau and Utawala. Most pictures I found ni individual houses tu that's why I resorted to give you Google Earth images to give you a clue. But now that you've asked, allow me to give you individual houses from the said areas.

And please, jaribu kujua maana ya neno estate. Usilazimishe ujinga wakati najua wewe si mjinga

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…