Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwasababu wanakupa ukweli na facts, hamupendi ukweli nyinyi munapenda kusifiwa uongo
 

Hamna tatizo ndio maana familia ya kenyatta na moi na wazungu kama delamere wanamiliki ma hectares nyinyi mpo tuu kimya
 
Zimejaa zikwapi hebu tuoneshe unless masaki huijui wewe 🤣🤣🤣 nilikwambia masaki ni kubwa sawa na mombasa nzima sasa ndio ushangae hapo
 
Hamna tatizo ndio maana familia ya kenyatta na moi na wazungu kama delamere wanamiliki ma hectares nyinyi mpo tuu kimya
Wanashangilia kuona misitu hawajui ni mali za watu wamekaa kimya 🤣🤣🤣 na kama wanabisha waambie wavamie waone
 
Hata SA kuna slums na bado mtaionea paa ile nchi.... Sio leo wala kesho kuwafikia wale, and that's a fact Tanzanians! 🤣 🤣 🤣
Ni kweli kuna slum lakini kenya kuna slums kuna tofaut hapo 🤣🤣🤣 na bahat nzuri nyinyi ndio mumeshika uongozi africa
 

Tatizo la kula githeri kila siku ni kupungukiwa na akili na ndilo unalo
 
Leo nataka nitoe mfano kidogo ila wakenya mnapaswa kujibu msikimbie kimbie,,ni hivi kwa hapa Dar tunatumia aina mbili zote za aina ya ujenzi wa makazi tukijumuisha estate na ujenzi houses moja moja kwa individual,,,

ila hatuna estate nyingi kiivyo ila kwa upande wa individual houses mmoja mmoja ni nyingi sana kuliko estate i hope hata nairobi itakuwa ni hivyo hivyo sema mnachofanya ni kuruka ruka na kukwepa upande wa individual houses ,,,,sababu kiuhalisia hizo estate mnazokazana kupost hapa haziwezi kuhifadhi idadi ya watu wote wanaoishi nairobi,,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
swali la msingi je individual houses mbali na estate kwa nairobi mbona hamzipost..?,,dayle mnakazana na runda estate n.k,,

hapo chini ni mfano wa baadhi ya estste na nyumba zinazomilikiwa na mtu mmoja mmoja na nyie mtuinyeshe tuone
 

Acha kukariri mzee apartments masaki ni chache sana compared na individual houses
 
Sasa kwa sababu hakuna mtanzania hata moja anayemiliki hata chembe cha hizo estates, tuliza kende na uzoee maisha ya dreamhouse yako hapo Dar
duuuuhhh!!! kweli we nguruwe,
tuachane na hayo hebu tupostie hapa mifumo miwili ya ujenzi ikiwemo nyumba zilizopo kwenye mfumo wa estate na nyumba ambazo hazipo kwenye mfumo wa estate ili tujionee yalimo huko maana nazawadi yako hapa
 
Wanashangilia kuona misitu hawajui ni mali za watu wamekaa kimya [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kama wanabisha waambie wavamie waone
watakula risasi za matako alafu sniper akiulizwa atawajibu kuwa walio msituni ni nyani
 
je mbali na estate unaweza jaribu kupost individual houses kama hizi...?,,

tunahitaji utuonyeshe tuweze kuziona kea huko nairobi ikojeView attachment 1796235
Wacha nikuelimishe kidogo. In Nairobi, most houses ni apartments. Hakuna mahali utaenda nairobi ukokosa apartments kando na mitaa za kifahari. Hizo apartments unaona kuna zile ambazo zinajengwa kwa minajili ya kuuza na watu hizinunua sana. Ama mtu akinunua nyumba kwenye apartment si homeowner? It happens even in the US.

Secondly, nyumba za chini kama hizo ulizopost pia zimejaa Nairobi. And just like apartments, hizi pia kuna zenye zinajengwa kwa ajili ya wanunuzi. Kuna pia watu ambao wanajinunulia plot na kujenga wenyewe from scratch. We've given you so many examples here but shida yenu ni kwamba hamtaki kuona kitu kimepangika kiustarabu. Mkiona hivyo mnasema ni estate. Sasa mimi nashangaa estate ni nini kwani? Isn't it just a residential area?

Below are a few examples za sehemu kuna individual houses sasa sijui hizi pia 'estates’
Haya ni maeneo ya Utawala, Ruai na Syokimau kule Eastlands. Most people here wamejinunulia ardhi na kujenga nyumba zao
 
duuuuhhh!!! kweli we nguruwe,
tuachane na hayo hebu tupostie hapa mifumo miwili ya ujenzi ikiwemo nyumba zilizopo kwenye mfumo wa estate na nyumba ambazo hazipo kwenye mfumo wa estate ili tujionee yalimo huko maana nazawadi yako hapa
 
Acha kukariri mzee apartments masaki ni chache sana compared na individual houses
Hizi apartments ni chache??!?

Na zinafanya nini kwenye mtaa wenu wa kifahari kama si za mabwenyenye wenu kuishi? Sasa kama mabwenyenye wenu ndio wanaishi kwenye apartment kule Masaki sasa wewe mkazi wa Gongo la Mboto uswazini unatoa wapi nguvu ya kudiss apartment?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…