Nioneshe sasa 🤣🤣🤣🤣 naona swali langu unalikwepa kwasababu lamotoKuja Nairobi utalii Runda, Muthaiga, Karen, Lower Kabete, Spring Valley, Kyuna, Loresho, Lavington na sehemu zingine nyingi utaziona hadi uchoke. Tumezipost humu hadi tujachoka, sema tu unapenda ubishi
Ndio raila odinga na mama ngina ndo walipima👇👇👇 the rest 95.5 uswazi republic😂😂😂😂😂According to who? nani alikuja kupima ??🤣🤣 raila odinga au mama ngina
So jibu rahisi nikwamba matajiri wanairobi hawajajenga nyumba zao kwa dream zao instead wamenunua nyumba za estate au wame rent 🤣🤣🤣🤣🤣Wamerent, na watanzania ndio wamiliki wa hizo nyumba
Hio ni posta tu 🤣🤣🤣🤣 hio ni CBd ina inaukubwa ukichukua wetland + CBd yenu + upper hill combined 🤣🤣🤣🤣Ndio raila odinga na mama ngina ndo walipima👇👇👇 the rest 95.5 uswazi republic😂😂😂😂😂View attachment 1795909
U can see now nini anatuonesha 🤣🤣👇👇musitamani sana Joburg.. hebu tukienzi east africa.. mombasani mwanzo..
View attachment 1795729View attachment 1795751View attachment 1795754View attachment 1795753View attachment 1795752View attachment 1795755
Manake vitumbua sijui vya mama gani hapa dar vinaeza kua sawa 🤣🤣🤣🤣🤣Hilo dude la vitumbua la kwanza mlisave vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nadhani hilo toroli linapata sana shida sana hapo.
Hiyo "stadium" yenyu imetoa champions wangapi? Imehost international games ngapi? 😂 😂 😂
Hawawezi na hawatakua nazo mpaka kiyama na ndio maana unaona swali langu ni la moto sasa analikwepa kwepa 🤣🤣🤣 nilitaka nimfundishe kitu leo asingenisahau mpaka kufa 🤣🤣🤣🤣🤣
Wakenya bhana mkiambiwa mposti dream houses mnaposti ma estate
Chekini nyumba izo simpo ☝ hamna cha kufanana na majirani
Wewe ni kilaza tu. Uelewa wako wa neno estate ni nini? Na iweje leo nyumba za kupangisha zinapatikana Dar wakati kila siku hapa tunaambiwa kila mtu anamiliki nyumba Dar? Hao wanaopangisha ni wakenya?
Wakenya bhana mkiambiwa mposti dream houses mnaposti ma estate
Chekini nyumba izo simpo ☝ hamna cha kufanana na majirani
Hvi vitu hatakuonesha mpaka dunia itasmama na anajua kwann hawezi kujibu na siku akijibu nitag bro 🤣🤣🤣🤣
Yani simple mathematics sio lazma utumie ramli upate jibu 🤣🤣🤣Kwa hesabu hizi nimeelewa kwanini 95% ya wakazi wa nrb wanaishi kwenye slums
Anachoforce yeye kwann mzungu kaona slum za dunia nzima hakuonza za dar hajui kwamba huyo huyo mzungu anauwezo wakuzoom mpaka akaona chupi yake imeanikwa juu ya kamba 🤣🤣🤣🤣Jamaa unapata tabu sana yn mpk unaokota picha za mtandaoni, Nicxie hizo picha co za Tz usifosi tuwe km nyie mkuu unajiumiza bure, hakuna mazingira km hayo Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hatuna matajiri KenyaSoma swali vzr na ujibu kwa ufasaha nimekwambia niletee nyumba zilizojengwa na matajiri wa kenya tofaut tofaut nyumba za dream zao ukipata unitag sasa nianze kukupa soma vzr kwa utulivu 🤣🤣🤣🤣
Hzo ni nyumba za watu waka kati na watu wenye pesa ziko umbali wa kuanzia km 20 na kuendelea kutoka CBD 🤣🤣🤣 hebu na wewe tuoneshe sasaKupost vinyumba moja moja ni upumbavu, tupatie jina la eneo tukaigoogle tuione.
🤣🤣🤣🤣🤣 na siku ukijibu swali langu hakikisha unanitag nikufunze kitu bila hasira sasaHatuna matajiri Kenya
Manina kariakoo naiona ilee itaje kwanza tuendelee😂😂😂Hio ni posta tu 🤣🤣🤣🤣 hio ni CBd ina inaukubwa ukichukua wetland + CBd yenu + upper hill combined 🤣🤣🤣🤣
Hii ni ruai na ni estate au mm ndanganya kunachouzwa hapo ni moja ya jengo ndani ya majengo yaliondani ya estate🤣🤣🤣👇 tatizo lako ww unahasira sana just cool down elewa swali alaf jibu kwann unapanic budaaWewe ni kilaza tu. Uelewa wako wa neno estate ni nini? Na iweje leo nyumba za kupangisha zinapatikana Dar wakati kila siku hapa tunaambiwa kila mtu anamiliki nyumba Dar? Hao wanaopangisha ni wakenya?
Tuzijaze server but Garden estate kuna better versions of what you call dreamhouses
View attachment 1795918View attachment 1795919View attachment 1795921View attachment 1795922
View attachment 1795917
How can we compare two cities there's no single time any city will be like the other.Duh aisee, ss huwa mnapata wapi ujasiri wa kufananisha Nairobi na Dar kwenye idadi ya majengo?
NAJUA HAMJAZOEA... BADO SANA! 😂Public transport in Nairobi May 2021 View attachment 1793105View attachment 1793106
Old news..jamaa kashapitwa na wakati,hakuna anayemzingatia sasa hiviMataga wafuate magu jehanamu View attachment 1795224