Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Okay let me not insult you Darling, New York imeanza kujengwa miaka ya 1100
 
Yaani wee jamaa kilaza wa aina gani!? Hata kama unawehu!? Sasa una compare nini!? County na Metropolitan area!? Tuseme we hujaenda shule ama tu walivyosema, unaconfirm tu kwamba watanzania ni vilaza 99%?
Pamoja na kubadili majina Nairobi population ni 4m 🀣 🀣 🀣
 
He wants Nairobi to look like Dar with dreamhouses everywhere. They are just bitter seeing things like this that they can't have

Just because they don't have green spaces wanataka nasi pia tufanane nao
 
Okay let me not insult you Darling, New York imeanza kujengwa miaka ya 1100
🀣🀣🀣🀣🀣 shida kubwa mtu anafananisha america iko mbele miaka 300
Hio system walicopy lakini imewashinda na ndio maana hata athari hakuna 😁😁😁
 
Yaani wee jamaa kilaza wa aina gani!? Hata kama unawehu!? Sasa una compare nini!? County na Metropolitan area!? Tuseme we hujaenda shule ama tu walivyosema, unaconfirm tu kwamba watanzania ni vilaza 99%?
Mm nimeuliza swali kiambu ni county sio county unafaa ujibu ndio au hapana 🀣 sasa siasa zote za nn hasira za nn budaaa

endeleeni kujifananisha na USA πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Hii picha hua inakamilisha karibu kila kitu asante bro🀣🀣🀣 mukiwmbiwa nairobi nusu ni msitu munaanza kusingizia green spaces hamutaki kusema ukweli kua ardhi zote zishachukuliwa na wakubwa au munaona aibu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…