Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza usiinte dogo maana naweza kulingana na baba yako. Pili jifunze kutumia websites.
Tatu jifunze kutafuta taarifa kutoka kwenye websites za kuaminika.
Achana na takataka za grida.no
Mzungu hapingwi mzee
 
Dodoma, capital of tanzania fools republic πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ondoa upumbavu wako hapa. Usihamishe mada. Tupo kwenye battle. Shenzi type.
Punguza jazba mzee ukweli lazima usemwe, km una tatizo lolote itabidi urudi kw mwenyekiti wenu uwafikiane naye kuhusu hilo swala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…