Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another multipurpose dam. 12 such dams are under construction in Kenya
20210521_085031.jpg
20210521_084807.jpg
20210521_084759.jpg
 
Hoja kwishaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
New jersey na pennyslavannia states mbona kuna sehemu zipo under new york metro..
Endelea kubisha pekeako mzee, uzuri km ni somo limeingia
Hoja kwisha kwamba machakos sio county na NMs ni county kama hvo hapo sawa🤣🤣🤣
Kwamba kwanzia leo machakos sio county
Munaiga vitu alaf baadae vinawatoa ushuzi

61476ECA-EF20-4991-B433-7DA7E3AE040F.jpeg
01D77E57-AA2B-4478-810E-B68CEBD9CA73.jpeg
863BC6C8-5782-4515-9A0E-32CBD0E2544B.jpeg
 
Nairobi Sacco ziking'ata shehena 😅😅😅

Hawa ndio wanataka battle ya transportations

images - 2021-05-22T114534.214.jpeg
images - 2021-05-22T114515.565.jpeg
images - 2021-05-22T114137.903.jpeg
 
Huna hoja mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endelea na ishu zingine hii ishu ya metro sio size yako, argue pekeako usinitie madoa ya ukilaza mie
Kwamba usa na kenya ni sawa 🤣🤣🤣 munaiga vitu alaf vinawatoa kamasi😀 rudi hapa kwamba NMS ni county na machakos sio county kama hvo hapo sawa
 
Mzee Nairobi ni Nairobi tu. Hata sisi tupo na Kanda ya Pwani ambayo inaunganisha Mkoa wa Morogoro, Pwani na Dar.

Nairobi size yake ni 696 km²
Ni kama sisi tuongeze bagomoyo iwe alfu tuje tuseme Dar metro

Waambie wakitaka ata wawke kenya nzima ndani ya Nairobi metro basi
 
Niaminishie mimi km new jersey na pennyslavannia sio metros under new york city ni states[emoji2960][emoji2960]
Kilaza bana
Usijali lkn, mi nipo kw ajili ya kukufunza sitokubali mods wakuachilie kirahisi hvo..we uiienda tutakosa vichekesho[emoji1787]
Unaongelea marekani au tunaongelea kenya ?? 🤣🤣🤣🤣 au siku hzi kenya imehamia america 😂😂😂😂😂

ugonjwa wakufananisha nchi ilioendeea na nchi maskini sijui ugonjwa huu utawatoka lini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 rudi kwenye mada

niaminishe leo kua NMS ni county na kama sio county inajenga wapi mbinguni au ??🤣
 
View attachment 1793646
The housing projects have spread in the Nairobi Metro now eating up any land available. This is deep in Kajiado County.
Kumbe kajiadoo ni county alaa🤣🤣👇👇
Niaminishie mimi km new jersey na pennyslavannia sio metros under new york city ni states[emoji2960][emoji2960]
Kilaza bana
Usijali lkn, mi nipo kw ajili ya kukufunza sitokubali mods wakuachilie kirahisi hvo..we uiienda tutakosa vichekesho[emoji1787]
 
Na nairobi metro itaongeza wigo na kunyakua maeneo jirani km inavyofanya sasa hivi..
Pole sana lkn
Inaongeza wigo kwani nairobi ina miaka mingapi ikiwa na 696km sq 😁😁😁 inside 696 km kuna over 200km sq ni nairobi national park hatujaweka misitu iliohema kila kona ya nairobi
 
Back
Top Bottom