Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Creation of the LAPSET has gone along way now there are new small towns emerging along the routes and we have new small airports too, Like in turkana where nobody ever dreamed it will ever have. now this real improvement not coming here to showcase buildings and dirt.
 
Mpuuze amafyatuka akiliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Twende pole pole maana ya metropolitan nini haswaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maliza mada kwanza alaf ingia kwenye swali lako 🀣🀣🀣 sasa tumeelewa kwann wakenya wengi kumiliki ndoto nairobi ni ndoto ya alinacha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Basi una uwezo huo wakununua plot kw hayo maeneo ambayo yameunganishwa kw metro au ni mbwembwe tu
Nani asiependa kumiliki ardhi nairobi ?? Nani hapendi?? Ww usijifanye hutaki wakat unataka 80% ya wanairobi wanatamani kumiliki ardhi nairobi lakini ni ndoto itabakia usingizini 🀣🀣🀣🀣🀣
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ rudi kwenye mada kwanza kila county inamgao wao kila county ina kiongoz wake kila county ina bunge lake kila county ina member of parliament au mm nasema urongoooo😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…