Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajaribu kukwepa baada ya kukojolea mjadalaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., hapa bado tulia, uweke nami nitaweka., but bado.., wacha haraka, usikimbie mapema, nangoja prove wana boda boda ni waongo..,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, unakimbia unaenda wapi?
Nimeomba kuoneshwa sehemu high class nairobi wamejenga nyumba zao kwa ndoto zao au dream zao 🀣🀣🀣🀣🀣 naona kila mmoja anapita wima nilitaka leo niwaelekeze kitu lakini ndio bahat mbaya sijapata jibu🀣🀣
 
With only 10,000 ksh deposit you can own a motorbike worth 115,000 in less than a year courtesy of Watu – Empowering Entrepeneurs

I did that😎😎😎
 
Hawawezi kuleta picha, nyumba zao ni village style choo cha njeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ unajifanya chizi sioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimemaliza tayari sasa ruksa kutapika ruksa kutoa nyongo ruksa kutoa utumbo mdogo na ni ruksa kuharisha kwa maana sina namna πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mimi nampatia first hand information yeye yualeta mipasho na story za kijiweniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ au kuna nyingine the link amepost ndugu yako mm nimefanya kuichambua tu sasa kwann ukasirike urushe ngumi za hewani
 
Hawawezi kuleta picha, nyumba zao ni village style choo cha njeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona tandale nimewaletea na siskii hata mkuzungumza sasa 🀣🀣🀣 na jumamos hii naenda yombo sasa nikalete vitu kwa ground naomba ukae mkao wa kula tu
 
Ukweli ni vile ilivyo, wakujinyonga ajinyonge, mnyenyekevu ajifunze kitu hapa.,
More news, wacha niweke screenshot mtu asiseme ni edited.
More good news from sacco regime in Kenya; mwenye macho haambiwi tazama.,
The power of SACCOπŸ’ͺπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Wenye wivu na kupinga waendelee tu, Kenya will forever lead and rule EAC until the end of the world!
 
Mbona tandale nimewaletea na siskii hata mkuzungumza sasa 🀣🀣🀣 na jumamos hii naenda yombo sasa nikalete vitu kwa ground naomba ukae mkao wa kula tu
Kwahio tandale ndo mnakoishi nyoteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ashajilipua tena😁😁😁
 
Ona kitu gani unaongea wewe 🀣🀣 yani wallah unatia mpaka huruma
Umeleta link kua bodaboda wamenzishiwa mfuko wa kufanya saving na kupa two bedroom wewe mwenyewe na hio link uliopost wenyewe wanasema imewachukua ugumu kupata watu na challenges ziliwashinda watu wakawa wanajitoa na nikiangalia ugumu waliouonana bodaboda ni huu hapa hata mwendawazimu hawezi kubali πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Na ukiangalia kwa hesbu rahisi ni lazma maskini abaki maskini tu
 
Kwahio tandale ndo mnakoishi nyoteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ashajilipua tena😁😁😁
Kwani mulikua munaisemaje tandale umesahau 🀣🀣🀣 si juzi tu hapa mulipost tandale baada ya mm kuwaonesha hali halisi mukazuga sasa jumamos natumba yombo kaa mkao wakula
 
Hiii link imeshindikana au πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡ umepost mwenyewe lakini πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Yani hata mwendawazimu akipiga hesabu atabakia kusema maskini atabakia maskini tu
 
Eastlands Harambee sacco housing units
Power of SACCOsπŸ’ͺπŸ˜œπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜‚

Serikali pia imetambua bidii ya raiya kukuja pamoja, imekubali SACCO iko na nguvu!

By jubilee govt.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hadi raha.,
 
With only 10,000 ksh deposit you can own a motorbike worth 115,000 in less than a year courtesy of Watu – Empowering Entrepeneurs

I did that😎😎😎
Alaf anakula nn na hapati matatizo yoyote hakuna ajali hakuna kitu chochote in ur calculations 😁😁😁😁😁 au bodaboda wenu ni malaika
 
Nenda kalilie kwa choo hauna chochote humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 mm nilikwambia lazma ukalie kuti hata ukinichukia nichukie tu lakini ukweli unao mkononiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ yes ni jubilee
 
I believe is jubilee πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡ ndio maan iliwatoa ndoto za kumiliki plot na nyumba mpaka dunia itasmama

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…