Unabadilisha kiki sasa 🤣🤣🤣 umeona huko pagumu unarudi kwengine tulizana kwanza sehemu mojaNimekuilia swali rahisi sana. Do you know something called market analysis?
Asante kwa matumaini haya jipigie makofi ili usionekane mnyonge🤣🤣🤣🤣🤣Huijui kenya mzeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena nasisitiza, huijui kenya mzee
Mm kenya huna chakunidangaya ww nenda nairaland kawadanganye wanaijeria huko🤣🤣Mzee si unateseka na kenya sana kumbe[emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 basi imetosha ndugu pumzikaI already own a house in Nairobi. Na sio dreamhouses kama ile yako ya Gongo la mboto
Imetosha bro plz plz 😃😃😃😃😃I already own a house in Nairobi. Na sio dreamhouses kama ile yako ya Gongo la mboto
Kwhyi unakataa ya kwamba mnasema hapa km kenya kumiliki ardhi ngumu[emoji23][emoji23]Kwanza rudi kwenye mada iliopoanzia alaf uje tuongee unafandia kichwa kichwa tu muulize mwenzio tulianza wapi mpaka sahii tuko wapi kenge wa kiume wewe[emoji1787][emoji1787]
Kasema eti nirudi kwnye mada na wakati mi naifuatilia toke juu kuleYani huyu kilaza anareason as if wakenya wote 52m wanaishi Nairobi
Sold out si kwa maana ya kuuzwa dogo,sold out hiyo ni kwa maana ya kuwa appartments are full occupied.. Usiwe mjingaHizo estates tumeweka ni low middle class, very soon naachilia middle class estates. Alafu mtafundishwa mara ngapi real estates hazikodishwi🙄🙄View attachment 1789807
Rudi mada ilipoanzia ukishaelewa njoo tuongee kwa sasa naona povu na moshi mbele yangu 🤣🤣🤣🤣🤣 hasira za nn sasaKwhyi unakataa ya kwamba mnasema hapa km kenya kumiliki ardhi ngumu[emoji23][emoji23]
Amekamatwa huyooo, leo lazima tukupeleke mwizi mwizi
Wakenya wana mijengo mzee, mpka nakuhurumia aisee ..unavyowehuka acha tu[emoji23]Kwa ku rent sina shaka hio hata hunidanganyi lakini kuown land and a house kwa mkenya wa middle class na kushuka chini ni ndoto ya alinacha na hili unalijua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkenya ukimsikiliza manenonyake unaeza sema ni nchi iko europe aiseee sasa hata sijui hzi sifa zinawasaidi kushiba ama vpSold out si kwa maana ya kuuzwa dogo,sold out hiyo ni kwa maana ya kuwa appartments are full occupied.. Usiwe mjinga
Usikasirike mzee, hzo ngojera zako hazibadilishi ukwel ya kwamba wakenya wanamiliki majumbaAsante kwa matumaini haya jipigie makofi ili usionekane mnyonge[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyoooo!!kaishiwa sasa kabaki na kujisifia upumba tu[emoji2960][emoji2960]Mm kenya huna chakunidangaya ww nenda nairaland kawadanganye wanaijeria huko[emoji1787][emoji1787]
Si nyie mumesema wakenya hawana uwezo wanakodi, vipi tena manake naona umeelewa vizuri kilichoandikwa hapoSold out si kwa maana ya kuuzwa dogo,sold out hiyo ni kwa maana ya kuwa appartments are full occupied.. Usiwe mjinga
Usikasirike mzee, hzo ngojera zako hazibadilishi ukwel ya kwamba wakenya wanamiliki majumba
Huyoooo!!kaishiwa sasa kabaki na kujisifia upumba tu[emoji2960][emoji2960]
Kwa hiyo ulikuwa unataka kuona apartheid hapa dar kama ilivyoshamiri huko kunyaland..kwamba hii ni sehemu ya matajiri tuu,na kule ni kwa masikini.. fuc#in' mindsetHehehe Kuna siku we were driving around in Dar nikiwa na Mtz, nikamuomba anipeleke sehemu wanakoishi matajiri, yaani upper class kabisa kwenye majengo ya kifahari ambapo wanapakubali wote, tulizunguka kanipeleka sijui Ununio mara sijui wapi, nilitafuta nini cha kulinganisha na mitaa ya kifahari hapa Kenya nikakosa.
Kukodisha sio kumiliki two different things 🤣🤣🤣🤣 kuown ni ndoto iko usingizini ukilala utakutana nayoSi nyie mumesema wakenya hawana uwezo wanakodi, vipi tena manake naona umeelewa vizuri kilichoandikwa hapo
Leta ya 2020 tuone[emoji23][emoji23]We kweli chizi yaani nyali umeleta sensa ya 2019,wakati masaki umeleta ya 2000...we unalinganisha nini,akili yako inafanya kazi kweli?
Punguza ujinga dogo,nilete mimi tena..Leta ya 2020 tuone[emoji23][emoji23]
Sasa nani ashindwe kukodi apartment, kibongobongo kwanza ni ushamba,wenzako wana own houses we umekazana na rent..hakuna middle class asiyeweza kumiliki ardhi..ardhi ndo asset kubwa ulimwenguniSi nyie mumesema wakenya hawana uwezo wanakodi, vipi tena manake naona umeelewa vizuri kilichoandikwa hapo