Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ ukija na facts nitag mm utadanganya watu wote nairaland lakini sio mm πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ hii ni jamii forum so kama ni community wao wanafanya biashara sindio na lengo la kujenga hzo estates nyinyi mnunue mukiwa na pesa na kama hamuna murent wakusanye kodi warudishe pesa zao kama community sasa ni mkenya yupe amabaye anajiita middle class anaeza hii masharti ukipata nitag na kwa mshahara upiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ na hii ni sacco
 
Nyingi bila mwana.

Nimedokezwa "Bajeti ya Wizara ya Ujenzi imepunguzwa kwa 20%", ukijumlisha na ufisadi utakaoanza kwenye miradi, sijui kama hata 20% ya Magufuli atafika. Yaani tumerudi kulee kwa Kikwete.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375] na bado hadi upasuke nyongo
 
Watoe wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., si umeona wametapatapa hadi basiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nikiwambia uniletee sehemu za matajiri nairobi waliojenga nyumba zao kwa kutumia dream zao unaweza niletea 🀣🀣🀣 au utaniletea estate as usual ??? Akili haikai kwenye kipumulio
 
Kua middle class atleast uwe na vigezo hvi πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ ni mkenya gani middle class ana vigezo hvi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ mtu anafkiri ukiweza kurent bedsitter unakua middle classπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Mzee unataabikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati wa middle class utafika sasa tuko low middle class, usijifanye chiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hiyo nyie mataga wa humu mnatakaje labda? Hii nchi ina mambo mengi ya maana ya kufanya sio ujinga wa kupeleka pesa yote kwenye sgr tembo mweupe na bwawa la umeme.

And you have nothing to do,ukiweza hama nchi au nenda kaburini kachongelee
 
Yaani wewe ni boya kurukaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unachukua a sample of a sacco unaweka hapa unatumia ku argueπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., sacco ni wakenya kadhaa wanakuja pamoja kwa kuelewana, wanachanga pesa ambayo unakatwa kwa mshahara kama umehajiriwa ama unatoa kiwango fulani kwa uwezo wako., so sacco inaweza kujengea nyumba it's members, nao wanazichukua na kulipia mortgage kwa muda fupani., members wa sacco wanapewa kwa bei nafuu kwa vile ni mchango wao, wewe ukija utalipia kupitia pua lako as a non memberπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚yaani nyie washamba kupindukiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, nilifikiria ndio mmetoka porini kumbe bado mko kule kule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mimi binafsi I owned my first plot in Nairobi kupitia SACCO ya professionals wa kazi nilikua nafanya., jifunzeni kitu kwa huu mfumo wa sacco wacha jeuri na kiburi na umasikini umewakumbatia kote koteπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., unapoendelea kupinga ndio ujinga wako inadhihirika wazi waziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., yani wewe ni ignorant more than I ever thought!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee boda boda saccos kenya wanajenga manyumba zao unaleta mipasho hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


 
Wewe huna akili ,hii nchi ina wizara nyingi za muhimu,Nchi sio wizara ya ujenzi tuu kama ukumbukeni wa mwendazake
 
Mzee boda boda saccos kenya wanajenga manyumba zao unaleta mipasho hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

700, 000 boda boda anatoa wapi na anakula nn kila siku na anaishi wapi wakat huo na mahitaji yake mengine anayotoa wapi na familia yake anaiangalia na nn ??🀣🀣🀣 tatizo hutaki ukweli ila nakwambia kitu mm nina uhakika nayo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maisha yenyewe ghali chakula ghali kila kitu hakikamatiki kwa maisha yakuunga unga bodaboda anasaving gani ya 700,000ksh???🀣🀣🀣🀣 punguza matani mzeee
 
Hii ni sacco mzee nilikua naangalia huyo middle income wakikenya wakurent bedsitter alijiita middle income anafanya nn πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡ acheni masikhara kwenye matumaini.....

hvi wewe kwa maisha yakenya yakivokua ghali kila kitu ghali infalation kubwa unataka kuniambia huyo middle income wa bedsitter anamshahara gani huo wakufanya yote na akawa na saving hiyo au akatwe pesa na mwajiri wake anaishi na nn au anategemea huruma ya Mungu ??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…




jamani ana own piece of land huyu hapa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 eeeh Mungu msitiri mja wako huyu, mm nakwambia ardhi ya nairobi na sio nairobi kenya nzima imeshikwa na wachache sana na hao wachache wengi politicians sasa mwenzako Nicxie kakubali wewe ukatae kwann???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama ungefungua hio link usingeuliza maswali ya kijingaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hio laki saba wanalipa kwa miaka mi saba. In a day a rider makes 1000 ksh on average.
 
Kama ungefungua hio link usingeuliza maswali ya kijingaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hio laki saba wanalipa kwa miaka mi saba. In a day a rider makes 1000 ksh on average.
🀣🀣🀣🀣🀣 in aday kwamaana anamkataba wa kazi ya kuingiza kila siku 1000ksh au unafkiri siku ziko sawa tu kua bodaboda kwanza alaf ingiza hio pesa kila siku πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒSoma hii link inahabari muhimu sana kwako

 
Tuta tuta tuta. Bado mradi haujaanza baada ya kutuhadaa kwamba mradi utaanza mwisho wa April.
Ndio umeanza sasa bado huamini au hupendi ijengwe huku 🀣🀣🀣🀣 acha wivu huna dada ukamwachia huo wivu
 
ichoboy01 ona vitu ulivyo leta kabla ya kuishiwa na pumzi., am comparing na za Nairobi.., ona tofauti ilivyo too obviousπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbio za sakafuni huishia ukingoni, sasa ni hadithi na vijisababu uchwara humuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1.Dar es salaam

Nairobi
2. Dar es Salaam

Nairobi
3.Dar es Salaam(pumzi ilianza kuisha akarudia same estate no. 2. ☝️different angleπŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚)

Nairobi bado ikajibu tuπŸ’ͺ.,

4. Dar es Salaam(kakimbilia upper class, lakini bado!!)

Nairobi anamjibu na Eastlands πŸ˜‚πŸ˜‚
5. Dar es Salaam (kaleta dream houses, am not putting here, matako ya Dar naijua so sigusi) hapa Dar 0.,

Nairobi
6.Dar 0 (mahali Kiswahili ilianza, eti ownership blah blah etc)

Nairobi

7. Dar 0..,(Kiswahili kiliendelea kashindwa kuleta picha)

Nairobi


Na wenzangu walileta kadhaa, akina Kasarani, Buruburu., Greenspan etc..,

Dar kulikoni?
 
Huyo jamaa nimegundua ni school drop out, imagine grown man hajui sacco ni niniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hajui maana na umuhimu wa SACCO, the reason wamejaza dream houses, unajenga na elfu mia moja ya Kenya pekee., Nyumba na unachimba choo kule nje, kazi kwisha.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…