Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hzo ndio majority mitaa ya watu wa dar[emoji23]
Kaeni kwenye bedsitter mukilipa kodi alaf mjihesabu midlle class🀣🀣🀣 lakini ndoto yakua middle class in real hamutakua nayo mpaka dunia inasmama
 
Eti middle class hana uwezo wala ndoto ya kua na ardhi wala nyumba nairobi alaf mtu anahesabika middle class🀣🀣🀣🀣
 

Hehehe Kuna siku we were driving around in Dar nikiwa na Mtz, nikamuomba anipeleke sehemu wanakoishi matajiri, yaani upper class kabisa kwenye majengo ya kifahari ambapo wanapakubali wote, tulizunguka kanipeleka sijui Ununio mara sijui wapi, nilitafuta nini cha kulinganisha na mitaa ya kifahari hapa Kenya nikakosa.
 
Wamebakia kupost estates where majority wame rent alaf anakwambia wana middle class wengi 🀣🀣🀣 alaf huyo huyo anakwambia ana nyumba ya urithi ushagoo yani nimecheka sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mtu anaongelea urithi wa ukoo alaf awe na ndoto za kumiliki nyumba, are u even serious Nicxie
 
Uninuo kuna majumba yakihari tena acha kabisa hio sehemu isikie hvo hvo labda hujafikishwa sehemu za adabu 🀣🀣🀣 ukija nitafute mm nikutoe tongotongo zako kwa gharama zangu mm hakikisha unanitafuta
 
🀣🀣🀣🀣🀣 siku hzi hawaongelei tena GDP πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Then sacco owned by who heb tusaidie hapo kwanza 🀣🀣🀣🀣 ili tuone kwann ardhi nairobi inamilikiwa na politicians, inveators, taasisi za serekali pamoja wafanya biashara wakubwa
Mwalimu wako alipata tabu sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mzee saccos arenot owned by anybody, shule uliachia wapi wewe😁😁😁
 
Ahadi kuhsnei budget ina ahadi miambili utekelezaji ni asilimia 0.1 πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Mzee real estate houses arenot rented, they are sold in cash or morgage.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ebu post aerial tuzione😁😁
 
Ndio maana Kenya ni slum capital, maana yake ni eneo dogo watu wengi hiyo ndio simple meaning ya slum

Populated Small area with very limited resources
Wanaelewa sana ila wanajitoa ufahamu tu 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mzee real estate houses arenot rented, they are sold in cash or morgage.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ebu post aerial tuzione😁😁
Sold to who ?? Nani ananunua estate ?? Nani ??? Hvi wewe unaniona mm sijui maisha ya kenya au ??? Nani wakununua huyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ labda watoto wa politicians na watoto wa matajiri wachache
 
We mzee huku ndio ununio

Sidhani kama hata ulishawahi fika

 
Mwalimu wako alipata tabu sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mzee saccos arenot owned by anybody, shule uliachia wapi wewe😁😁😁
Jibu swali nililokuuliza hakuna kuzuga au kukwepa ??? So are owned by who?? Zinamilikiwa na malaika au???πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Eti hazimilikiwi na yoyote sasa zinaendeshwa na ibilisi au???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…