Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanahangaika kutafuta slum dar 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 yani mzungu afunge sattelite za trillions of money juu aone slums za dunia nzima asione ya dar pekee, maajabu ya musa haya
Hatutaki mipasho leta picha, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwani ni ngumu vipi😁😁😁😁
 
Nyumba za village style ndo wamejenga mjiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sisi tunaishi juu ya miti kama ndege. Huo uwezo wa kuwa na nyumba tutoe wapi?
Hapo umemjibu kikamilifu, anataka hivyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,ukweli ulioko Nairobi na yeye ni kama maji na mafuta, hawapataniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani nimekujibu nn ??? 🀣🀣🀣 unalazmisha masaki, masaki yenyewe huijui bado unabishana na sisi 🀣🀣🀣🀣 masaki ina wenyeqe mzeee na ni kubwa sana na mombasa nzima
Mzee mbona unarukaruka kama churaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hivi kumbe we ni fara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
asa apo kunya mna TV gani ya kufananisha na azam?
Bado lishamba linaendelea kubwabwaja ushambaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., nenda habari na hoja mchanganyiko kule ukalilie huko., hapa umejiharia tayariπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., eti kulinganisha Tv stations πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., ama leta mapicha ya Dar tu to keep the thread busy., utoto niondoleeπŸ˜‚
 
Msaidie kusema ni wapi mm nikuletee picha ukitoka ww mwanaume [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila sehemu pamejengeka na kila sehemu kuna majority sasa taja ww panapokupa shida nikupe dawa
Muorodheshee mwenzake sehemu pamoja na jina la eneo[emoji23][emoji23]
 

Sisi hatuna kitu inaitwa slum mpaka dunia itasmama slum za dunia hii utazipata nairobi liberia na nigeria πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 1789000
Kunyaland inaongoza kwa slums duniani
 
Ila kuna uwezekano fedha nyingine zimeenda TAMISEMI kumbuka kuna suala la kujenga mji wa Kiserikali ikiwemo majengo ya wizara na taasisi zake! Hebu angalia vizuri!

Pia kama mama pia anajaribu ku-balance kama vile sekta za Afya na maji pia amezipa kipaumbele chake! Unajua wapiga kura wengi wakina mama?
 
Nakwambia maskini wa dar ana nafuu mara mia kulik Mtu anaiishi hapa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ kibera alone imebeba watu million 2 na laki tano bado tubishane nn 🀣🀣🀣View attachment 1789297
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚limelemewa sasa ni porojo na propaganda, umebanwa kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Pakutokea hautopata, leta picha za middle class estate na lower middle class za Dar, hekaya za abunuasi sisi hapana tambua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, ama usha jiharia tayari?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,,
 
Hapo umemjibu kikamilifu, anataka hivyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,ukweli ulioko Nairobi na yeye ni kama maji na mafuta, hawapataniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣 mwambie mwenzako apunguze hasira hazifai alaf hujanijibu swali who own estates in kenya hili swali kua nalo makini kujibu tafadhal sana sitaki tuvunje urafiki wetu😁😁😁😁
 
karibu chai budaa.....

kununanuna ni dalili ya njaa kula kwa macho inaruhusiwa pia
 
Hatutaki mipasho leta picha, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwani ni ngumu vipi😁😁😁😁
Atoe wapi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., anatapatapa humu, ni povu tu imebaki,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, sasa anakimbia Kibera eti watu 2million, kujikomboa from the beating πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ linatia huruma kweli, linahema tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,.,
 
🀣🀣🀣🀣🀣 mwambie mwenzako apunguze hasira hazifai alaf hujanijibu swali who own estates in kenya hili swali kua nalo makini kujibu tafadhal sana sitaki tuvunje urafiki wetu😁😁😁😁
I asked u to prove me wrong..., na usijaribu kugeuza gear hewani.,leta picha wacha umwehu..,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,

In ownership wacha nikurahisishie kazi, tafuta program inaitwa property show Kenya kwa YouTube, ujionee, ata watu wengine wa boda boda utaona through their SACCO wamejijengea estate, Tz hakuna hilo., be my guest..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…