Wewe kilaza unajua fedha ya kujenga hayo ma overpass in Nakuru na Kisumu, na zingine kama Chavakali, Webuye(interchange mbili) Kitale, Kericho kwa T junction to Kisumu, Machakos, Thika, na za Mombasa ilitoka wapi?😜😂😂😂😂.., eti haina kazi? akili za vijiweni hizi😜😜😜🤣🤣🤣🤣😂😂 Wewe ni wivu itakuuwa dogo😂😂😂😂😜😜🤣., mzee Kibaki katuachia maendeleo yenye tulinyimwa tokea uhuru., wewe vumilia tu, ukweli ni uchungu, zoea tu, nje ya Dar nothing substantial, ni kelele mnajaza humu na vipicha vya kuficha aibu na ukweli😂😂😂😂