Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usituchoshe na terminologies za kijinga.
Nairobi ni Nairobi, Kajiando ni Kajiando. You can't combine them na kuziita Nairobi ni upumbavu.

Nairobi Aerial View


View attachment 1788201
Wewe kilaza wa vijiweni utatufunza nini wewe?🤣😂😂😂🤣😝., ukweli unatesa lakini vumilia tu kaka, it is what it is, kupinga kwako hakutobadilisha, zoea brathe🤣😂😂
 
Kumbe Leo umekubali mko na old town🤣😂😂🤣, lakini si ni pazuri for historical heritage ama unaonaje?.,
Mombasa old town💪
View attachment 1788204
Ni zanzibar ndio ina old stone town sio dar es salaam 👇👇👇👇👇

41C0ECEF-8696-4622-B9CE-3B7EC3773817.jpeg
2DC74B23-4D64-45BF-9963-0F226583E2C8.jpeg
D2395D17-4D9C-4711-8C30-F43F97AEF134.jpeg
26F2E37F-9B3A-4133-90C9-4C817D3F7898.jpeg
 
Nairobi area, plus Nairobi Metropolitan area😝😝😂😂😂View attachment 1788219
Usilazimishe akili za kitanzania kwa mambo ya Kenya 😝😝😂😂., hapa raha tu bro.,
Ndio maana kuna counties na kila county kuna gavana kuna mbunge 🤣🤣🤣 kimabu ni county inajitegemea na uongozi wake tofaut, machakos ni county inajitegemea

tukija kwenye city area 👇👇👇👇
8883E148-3E15-4068-9F34-546DC41ABFD1.jpeg
985A8245-329C-48EF-96FF-0AAE3A815E63.jpeg
 
What of metro? Mbona hautaki🤣😂😂😂🤣🤣🤣😝😝., unaumia?
Niumie nn wakat mambo yako mezani 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 kila county ina bunge ina gavana ina mbunge so waliopima city area hawana akili au????
42E37F39-F8A3-4996-9A15-F20DA6252E29.jpeg
6718926A-CA75-4084-88A3-8104C757706E.jpeg
 
Ni sawa na kusema dar es salaam na mkoa wa pwani 🤣🤣🤣 umekuaje Don YF wewe ni don wa wavuta ganja nn

Na hapo hio 696km city area bado msitu ni 70% 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom