Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kabisaaa👇👇👇👇👇
View attachment 1787394
Sky tower mm mwenywe nahamu unioneshe ili nikuwashe kama mwenzio Nicxie hana hamu na mm alijua mzungu ni fala tu🤣🤣
picha za upande kumbe kumeoza😁😁 i repeat again, theres nothing outside kariakoo noisy market and blue towers which makes 1% of dar.
images (3).jpeg
images (2).jpeg
 
Hiyo Eastleigh ina vi apartments viwili vitatu lkn eneo kubwa pia ni ma slums kushoto kulia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni slum ya wasomali 😅😅😅

Nyingine zote za wakikuyu, kalenjin, luo Lakini Eastleigh ni one bigger slum special for Somalis 😅😅😅
 
Mwanza haiitaji football stadium mpya wakati CCM Kirumba inaweza kuwa modernised at least cost! Badala yake wajenge mkoa mwingine kama Morogoro ama Tanga!

I thought of that to ..lakini ni ngumu kuwapangia CCM cha kufanya na pesa yao .. if they are willing to invest or share cost it would save alot of cost sio Mwanza tu bali hata .. Arusha (Sheikh Abeid Stadium)
 
Picha za upande[emoji16][emoji16][emoji16] nipe jina la hio sehem nikuonyeshe kitu[emoji23][emoji23]
Sehemu ipi ? This is the street view of Dar CBD,
Just accept Dar has bee rapidly transformed to modernity and your Nairobi remains dirty, oldy, disorganised and chaotic place. Ndio maana mnashangaa sababu mlikaririshwa kuwa kamji kwenu ndio bora.
DSM.jpg
 
Back
Top Bottom