Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is city wealth equivalent to real estate investment?
Do you understand what comprised in city wealth?
Nenda Kasome tena kwa undani, kama kiingereza shida kama kawaida yako, njoo nikusaidie.
Acha kujiingiza kwenye topic you don't understand. Who interfered with your brain cause by the looks of things is like you don't understand what you are talking about.

Dar ikipatikana kwenye hi list unitag.

13437750_screenshot52_pngd4da4c79319563e315006ba038e2bd69.png
 
Ulitaka aweke hizi ambazo ni pana na wanapita watu wengi[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1787044View attachment 1787045View attachment 1787046

Urefu wa Barabara za Dar ambazo ni rafiki kwa watembea kwa miguu zinaweza kuwa ndefu sana. Na baada ya BRT phase 2 na 3 kukamilika tutakua sawa sana na sidhani kama kuna jiji litatukaribia kwa Maeno hayo.
Pedestrian and Cyclist friendly Roads in Dar
1. Nyerere road from terminal one to Nkrumah —— Bibi Titi and Al hassan Mwinyi road all the way to Bagamoyo road .
2. The whole of Morogoro Road
3. The Whole of Msombazi street
4. The whole of Kivukoni road
5. Ali Hassan Mwinyi to Bagamoyo road
6. Uhuru road from Mnazi mmoja to Karume.
7. The whole Kawawa road
8. Sokoine Drive from Clock tower.
9. Bibi Titi Mohamed road.
10. The whole of Mandela road
11. The whole sam Nujoma road

Morogoro / Mandela / Sam Nujoma

IMG_7461.jpg

IMG_7460.jpg

Nyerere road

IMG_7457.jpg

Bibi Titi/ Alhassan / Ohio street

IMG_7472.jpg

Mandela road

IMG_7456.jpg

Ali Hassan / United Nations road

IMG_7455.jpg

Uhuru / Lumumba road

IMG_7452.jpg

IMG_7468.jpg

IMG_7469.jpg

Ali hassan Mwinyi road

IMG_7447.jpg
 
Kuna road fulani hapo kunakuanga na tu building kumi ndio waitanga second cbd [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Hiyo sehemu hata Mombasa road imeishinda. Sijui wanaiita morogoro road sijui kijitonyama.
 
Hiyo sehemu hata Mombasa road imeishinda. Sijui wanaiita morogoro road sijui kijitonyama.
Kama ushawahifika upperhill hiyo side ya mbagathiway ndio utajua mombasa road iko na building mob....hiyo view ni noma
 
hili suala, kwann governments za serikali nyingine wasicounter attack zaid kwa kujenga viwanja vyao wenyewe.. too bad.. top viongozi wa Africa hawajali kbsa kuwekeza kwenye michezo.. nimeshangaa sana hata rais wa liberia nae kashindwa kbsa wakat ni mshindi wa mchezaj bora dunian

I have been raising my concern multiple times huku na Ssc about governents investing in sports and entertainment facilities
1.Kwanza huongeza Ajira na pia ni source of Toursim

I even calculated a 1bil usd dollar plan 10years plan to revamp this stagnant industry..

We need 5football stadiums (500 mil usd enough)
2 over 60k capacity Dodoma, Mwanza
3 40k capacity -Mbeya , Arusha, Zanzibar

8 -10 Indoor Stadiums ( 250mil enough)
20k Capacity 2 - Dar, Mwanza
10k Capacity 3 - Znz(tourism spot), any other cities
5k cap -3-5any other towns

Training grounds and other facilities plus gyms etc (10mil usd) for the stadiums above..@ stadium may need 2 training grounds making a total of 10 grounds for football and 20 for indoor stadiums

Academy for Soccer, Basketball, Volley ball , Netball , indoor games like chess + equipments + hostels ..every region in Tz needs one so roughly is around 40 in number (40mil usd )

Train coaches.Makocha kumi kwa kila academy means 400 coaches ..should not exceed 1 mil usd coaches will oversee sports and regional games at schools and pick students who excel in games and train them kwenye academies of their respective regions

Expo centre/Exhibition (15k capacity)and New Conference centre (5000 capacity) (150mil usd ) ili uweze ku host big events like expos , music events etc

Might have exaggerated price but i think its fair deal
 
Acha kujiingiza kwenye topic you don't understand. Who interfered with your brain cause by the looks of things is like you don't understand what you are talking about.

Dar ikipatikana kwenye hi list unitag.

View attachment 1787181
Bwana Mapesa umeulizwa kuhusu estates mbn unashindwa kuelewa? Au mipesa uliyonayo imekulevya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20210301-183953.jpg
JamiiForums1259466927.jpg
 
[emoji57][emoji19][emoji26][emoji26][emoji84][emoji84][emoji85][emoji85][emoji74][emoji74][emoji81][emoji81][emoji81]
IMG_20210516_155054_011.jpg
 
Urefu wa Barabara za Dar ambazo ni rafiki kwa watembea kwa miguu zinaweza kuwa ndefu sana. Na baada ya BRT phase 2 na 3 kukamilika tutakua sawa sana na sidhani kama kuna jiji litatukaribia kwa Maeno hayo.
Pedestrian and Cyclist friendly Roads in Dar
1. Nyerere road from terminal one to Nkrumah —— Bibi Titi and Al hassan Mwinyi road all the way to Bagamoyo road .
2. The whole of Morogoro Road
3. The Whole of Msombazi street
4. The whole of Kivukoni road
5. Ali Hassan Mwinyi to Bagamoyo road
6. Uhuru road from Mnazi mmoja to Karume.
7. The whole Kawawa road
8. Sokoine Drive from Clock tower.
9. Bibi Titi Mohamed road.
10. The whole of Mandela road
11. The whole sam Nujoma road

Morogoro / Mandela / Sam Nujoma

View attachment 1787182
View attachment 1787184

Nyerere road

View attachment 1787185

Bibi Titi/ Alhassan / Ohio street

View attachment 1787186

Mandela road

View attachment 1787187

Ali Hassan / United Nations road

View attachment 1787188

Uhuru / Lumumba road

View attachment 1787191

View attachment 1787192

View attachment 1787195

Ali hassan Mwinyi road

View attachment 1787196
Vibanda tupu😂😂🤣🤣

2776667_IMG_7456.jpg
 
[emoji706][emoji706][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji124][emoji124][emoji1282][emoji1282][emoji1282][emoji879][emoji879][emoji40][emoji40][emoji81][emoji81][emoji81]
IMG_20210516_155054_011.jpg
IMG_20210516_115157_878.jpg
 
hili suala, kwann governments za serikali nyingine wasicounter attack zaid kwa kujenga viwanja vyao wenyewe.. too bad.. top viongozi wa Africa hawajali kbsa kuwekeza kwenye michezo.. nimeshangaa sana hata rais wa liberia nae kashindwa kbsa wakat ni mshindi wa mchezaj bora dunian

Michael Jordan has never been to Kigali!
 
Back
Top Bottom