Yani hii picha imemaliza kila kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] manake CBD ndani, westland ndani, upper hill ndani, kilimani ndani sijui wamebakiza nn sasaView attachment 1787382
Ni kichaa tu ndio unaweza kumwambia eti Nairobi ipo mbele ya Dar likaja suala la buildings, ndio anaweza kukuelewaHii nini sasa?.....kadar slum sioni kama hata kanauwezo wa kushinda na KitengelaView attachment 1786821
Leo kiboko kikali sana, prepare for round 2😂😂😋Mbona hii hupost tena 🤣🤣👇👇👇
View attachment 1787370View attachment 1787371
View attachment 1787372
Yaani kwa kweli hata hvo ulinzi nimempatia usiwe na wasiwasi na pia kaniahidi yuko tayar kujiripua tena 🤣🤣🤣🤣Picha muhimu sana.
Nimecheka sana leo hii hautaki tena 🤣🤣Leo kiboko kikali sana, prepare for round 2😂😂😋
Nipe jina la huu mjengo i show you something😁😁Kabisaaa👇👇👇👇👇
View attachment 1787394
Sky tower mm mwenywe nahamu unioneshe ili nikuwashe kama mwenzio Nicxie hana hamu na mm alijua mzungu ni fala tu🤣🤣Nipe jina la huu mjengo i show you something😁😁View attachment 1787407
Hii ingekua kwao na yenyewe ungeitwa CBD 😂😂😂 alaf wanatuuliza eti nje ya Dar CBD kuna kitu gani.? 😂😂Kabisaaa👇👇👇👇👇
View attachment 1787394
Utazunguka mahali pamoja tu😁😁😁Hehehe mutafika tu musijali Coco reborn View attachment 1787392
Nipe jina ya hio barabara hapo mbele yake, nikuonyeshe kitu😁😁Sky tower mm mwenywe nahamu unioneshe ili nikuwashe kama mwenzio Nicxie hana hamu na mm alijua mzungu ni fala tu🤣🤣