Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

15 km from CBD
JamiiForums1358126474.jpg
 
Halafu ana Audacity ya kutaja neno IQ. Huyu mpotezee tu. Kila ukiona post yake refer na mahela yake unajua unaongea na nani. [emoji23].
Uyo mm huwa naenda nae hivyo hivyo kichizi chizi km alivyo na uchizi wake na ndiyo maana huwa akiiona hii ID popote alipo anakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
I thought of that to ..lakini ni ngumu kuwapangia CCM cha kufanya na pesa yao .. if they are willing to invest or share cost it would save alot of cost sio Mwanza tu bali hata .. Arusha (Sheikh Abeid Stadium)
Uwanja wa Arusha hauna nafasi ya kutosha na haufanani na Kirumba! Nadhani hujawahi fika! Utatakiwa kuvunjwa wakati wa Mwanza hata jukwaa linaweza kuongezwa pia mapaa kuwekwa!
 
Old CBD ya Nairobi ni Tower mbili tu za maana kidogo Times, CBK na labda tuongezee ule mkongojo wa Punda (KICC) vingine vijumba vya miaka ya 70 Hamna kitu.

Upper hills pia kuna Prism, UAP, na miantena kama Ya Lobster Britam tu. Mengine utopolo kila nchi inayo.

Westland mchina kawatoa kwa Tower 5 muhimu. [emoji23]
Nikikuambia IQ yako ni kama ya punda unaona vibaya🤣🤣😂. Sasa wewe kwa akili yako nyumba za maana zinakaa aje ama zinaanzia floors ngapi?
 
Kwanza hata hamfai kuongea juu ya barabara juu mko na 12,000km pekee ya paved roads[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Unarudia tena hii vita hujakoma tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nakuona uko civillised wacha ni deal na wewe kistarabu, je hali ya real estate ya dar ukilinganisha na Nairobi unaionaje??
Huwa sihitaji kupambwa mzee, tofauti ya Dar na Nairobi ni kuwa Dar Majority wanaishi kwenye nyumba zao sababu building a decent home in Tz is quite easy than in Kenya, a reason you will rarely see uniform houses in Dar and people are comfortable with their own houses than rental.. hakuna soko kubwa la wapangaji huku na hata wanaopanga wanakuwa wanapambana kununua ardhi na kujenga nyumba zao, hii pia ina changamoto sababu inapelekea kweye makazi mengi ambayo ni informal, you go to Mbezi beach, goba, Bunju, Mbezi, Kinyerezi, Chanika, Kigamboni utaona massibe decent homes ambazo hazifanani kama huko Nairobi..
Kwa upande wa Majengo makubwa overal Dar ina majengo mengi kuliko Nairobi, though Nairobi imeonekana kujenga majengo mengi hivi karibuni sababu since 2016 JPM alielekeza projects nyingi za Real estate done by the Pension funds and NHC Dar kuelekezwa Dodoma.
 
Back
Top Bottom