Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu akikosa huu uzi uta bore, wacha akuje na reasoning chwara nifurahi.,πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚, hawa ni wale fukara, kashatoka kudoea kwa wenyewe kameshiba wacha kachangamke humu kidogo πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜….,
Ukimbana utaskia ' ukipata prove nitag nifunge account'
 
14b ksh tax payers money maskini zimekwenda na maji yani simple like that🀣🀣🀣🀣🀣
 
Yani ukikatoa kale ka cbd uchwara, hivi ndo dar inabakia😁😁 kama huamini wekeni location zenu hapaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ona barabara zilivopigwa viraka 🀣🀣 alaf viraka venyewe sasa vimevimba kama vitumbua kwa mama seleπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Yani ukikatoa kale ka cbd uchwara, hivi ndo dar inabakia😁😁 kama huamini wekeni location zenu hapaπŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 1784606View attachment 1784608
Pic from sattelite je tuna weza zoom ili tukaona alietengeneza sattelite akaziwka hapo juu na ww nani mwenye ubongo tulivu🀣🀣🀣🀣🀣

Wachana na hasira sio muda wake
 
Hutaki nifurahi na nyie siku ya leo sema tu kama hutaki tufurah sote 🀣🀣🀣🀣 ww hasira zote za nn sasa hvu nilikukosea nn
La hasha njoo tufurahie, leo ningekua Dar tungekula bata hadi basi., ningekujenga deadly mtani., πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ€£, welcome aboard kaka, usiogope, hakuna matata ni siku ya furahaπŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚ , πŸ‘πŸ‘πŸ‘.,
 
Karibu sana bro ile leo sijatoka kabisa nimechoka tu naona uvivu wakutoka ila pamoja sana πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…