Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha hasira leo ni eid bana tuliza presha basi πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siku yangu yakufurahi sasa lazma nifurahi nanyie au namna gani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ naona mwenzenu leo kawatia njiti mapemaa
Sema ukweli hasira zimekupanda ikabidi usimamishe eid ili uniquote, nimekuaribia sherehe😁😊😊😊
 
Kilaza la kimataifa hilo.
 
Uione bongo kwenye list ya ufukara? Angola mbn huioni apo [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
Hao pia labda wameshuka daraja, mbona egypt na paki ziko.😁😁😁
 
Yani umeacha shughli zote za eid ili uniquote,, 😁😁😁 watu kwenu wanadhan unafanya kitu ya muhimu kumbe uko jfπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyu akikosa huu uzi uta bore, wacha akuje na reasoning chwara nifurahi.,πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚, hawa ni wale fukara, kashatoka kudoea kwa wenyewe kameshiba wacha kachangamke humu kidogo πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜….,
 
Hutaki nifurahi na nyie siku ya leo sema tu kama hutaki tufurah sote 🀣🀣🀣🀣 ww hasira zote za nn sasa hvu nilikukosea nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…