Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, Hii ilibidi iwe hivi Kulingana na masharti ya ile pesa kutoka WB.
Mama hakuwa na namna hata JPM angekuwepo angebana tu ila mwisho wa siku angeachia kiaina kama ilivyofanyika sasa...soma hiyo thread utaona namna itakavyo kuwa.
Mmmm, I wish niwe sijaelewa wanachomaanisha. Yaani kwamba mwanafunzi akipata ujauzito anaweza kupata elimu mbadala (mf. kufanya mtihani kama private candidate) kisha akimaliza form four anaweza kuchaguliwa kwenda mfumo rasmi (school candidate)! Yaani kwa jinsi nikivyoelewa "wazazi" hao wanaweza kurejeshwa tena kwenye high school za gvt!

Duh! Kama kuna kipindi kigumu nimewahi kupitia katika safari yangu ya uzalendo, hiki ndicho kigumu zaidi. Yaani kisa mkopo wa WB tunaanza kuibomoa jamii! Hope sijaelewa wanamaanisha nini.

JPM asingekubali hayo masharti kwa ajili ya dola mil 75.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu waoneshe ulipo Google slums in Tz tuone ulipata jibu gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aiseee, inahuzunisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua huwezi gusa kwenye history manake unajua lazma nikunyuke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
History ya nn[emoji23][emoji23]
Kumbe na wewe fuata upepo, narudia tena mzee baba..hunifundishi lolote kuhus gavana wangu
 
History ya nn[emoji23][emoji23]
Kumbe na wewe fuata upepo, narudia tena mzee baba..hunifundishi lolote kuhus gavana wangu
Nimekwambia ww joho humjui na historia yake huijui kaa kimya tu mzee 😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…