Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na kama ulikua hujui asiki ya joho baba yake mzazi katokea tanga na wanafamili tanga sasa ndio maana nakwambia kwanza jua asili ya joho ndio tubishane [emoji16][emoji16][emoji16] na joho sio jina la ukoo wao lipo jina la ukoo wao
Bwahaha[emoji23][emoji23]sina time na hekaya zako mwarabu, nenda kahangaike na kujua kwenu kwanza ndio uje uhangaikie ya watu
 
Hzo ni fikra zako tu, lkn ukweli ni kwamba watazania huku hawaji chuo wengi wao wananzia la msingi mzee baba..acha kulisha watu matango pori
 

FACT, Nina masela kibao wenye nazo wameenda huko baada ya kuzungusha.[emoji23]
 
FACT, Nina masela kibao wenye nazo wameenda huko baada ya kuzungusha.[emoji23]
Wale wakusomea vyuo feki huku[emoji23][emoji23]
Ukienda kutoa vyeti vyako katika ofisi za serekali unaambiea hatukifahamu hicho chuo..

Kumbe na nyie mnapigwa mkija hku[emoji23][emoji23]
 
What is ailing southerners 😜😅😅🤣🤣🤣😂
View attachment 1783210
View attachment 1783212


Nakuongezea na hii, watanzania wengi wanaondoka tz ni wale waliofeli shele na wanatafuta urahisi wa maisha, wabongo wengi hususani Dar indigenous na Tanga wanakimbilia SA kutafuta maisha since sisi wabongo hapo SA tunaingia tu bila Visa, wenye visenti kidogo wanakuja kwenu Kenya uko kufanya biashara, wasomi wengi wa bongo wanasoma tz na wanafanya kazi tz na ukiwaona wanaenda America na Europe ujue ni aidha wanaenda kuongeza elimu (masters na PHD) au biashara, sisi tz tunayo makampuni ya kandarasi ya kutengeza mpaka barabara na kila kitu na zinakula tenda, for your information kimara kibaha high way inatengenezwa na kampuni zawa (estim), stendi ya Dodoma na nyingine zote zimetengenezwa na kampuni za wazawa, tunazo kampuni za wazawa za kutengeneza mpaka meli n.k .. heb tuembi ninyi mbajidai mnaelimu bora mnaweza kufanya nini ..mnaweza kutengeza hata barabara za lami.? au mpaka mchina awafanyie..?
 
Mtihani wa form 4 wa kenya kuingia chuo kikuu ni mrahisi kuliko mtihani wa form 4 Tanzania kuingia Diploma na form 6
 
Hzo labda ulinganishe na kibera hvo hvo[emoji23][emoji23]
Uswazi middle class katika ubora wake
 
Mtihani wa form 4 wa kenya kuingia chuo kikuu ni mrahisi kuliko mtihani wa form 4 Tanzania kuingia Diploma na form 6
Basi watanzani wenye hela zao wanaleta watoto wao kusomea kutokea la kwanza hadi form4 huku.
Mbona wanafunzi wa tz kutoka primary ni wengi
 
Kinachotuangusha sisi ni bati,watanzania tunajitahidi sana kujenga ila bati tunazotumia huota kutu,kwa nini serikali isitumie udikteta kutulazimisha tutumie bati za rangi,yaani kusitishwa uzalishaji wa hizi bati za kutu!!..
 
Wabongo wengi huzani elimu bora ni kuongea kingereza na co output, Kenya hamna elimu na wanachofuata wazazi wengi wa hapa Tanzania ni watoto wao kujua lugha ngeni ndio maana utakuta ada ya medium school apa bongo ni kufuru cz mzazi anataka mwanaye ajue tu lugha ngeni na ndiyo maana unakuta Wakenya wengi wameajiriwa huku bongo kwasababu ya "yes" "No" wanazoongea, but nothing new thus y matoto yanayotoka Kenya huwa ni mazembe mno, ila mtoto aliyetokea vyuo vya Tz huwa fasta kuelewa shida huwa ni English tu ambapo nayo huwa inamkaa hapo baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…