Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

PUMBAVU!!! NYIE WAKUNYA UHALO BADO MUPO HUMU NDANI? MABONGOLALA JE? WEKA MCHANGA HAPA NIPUTE ALAFU MTU ASOGEE AONE!!!
 
wakenya this is Namibia, siku ambapo itafika mukiwa na neighborhoods zenye houses diverse kama hivi ndipo nitawapa heshima, for now endeleeni kuishi kwa nyumba za yebo yebo πŸ€£πŸ˜…
 
Jibu swali fananisha tandale au tandika na kibera alaf tuzoon tuone kwann mzungu aliona slum kenya hakuona tanzania 🀣🀣🀣 unafkiri mzungu anaweza kua mpumbavu
Fananisha huu upupu na tandale au tandika alaf tuone kwann mzungu hakuona slum dar ila akaona za dunia nzima
 
Unafananisha mitaa kuna estate na tandika kwann usifananishe kibera au mathare au kariobangi alaf ufananishe na na tandale πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

hii ni tandika picha uliopost wewe mm nimezoom tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚








na hii ni mathare slums sehemu kuna mazizi ya nguruwe haya tuambie kwann ww usiwe mjinga na mzungu akawa na akili ya kukushinda wewe miaka 300πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
I can only imagine how much you are sweating while saying this huku umeuma lips na macho pia umekodoa and a frowning face to top it up!
Uhehehehhe bado unataka tufanane kwenye slums 🀣🀣🀣 unafananisha viji estate kadhaa na tandika kwann usifananishe kariobangi na tandale alaf tuone kwann ww ni boga la nchi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ msaidie mwenzako kumnasua hapa kwanza na akinasuka hapa mm nafunga acc jamii forum mark my wordsπŸ˜‚πŸ˜‚
 
wenye akili kenya wameshaona tatizo
Hio ni mess ya pili baada ya SGR nyie tulieni muone mchina atakavowagaragaza hawa mbuzi miaka 30 na wanatafuta shuka sahii kushakucha 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Unaniletea habari 2011 miaka 11 iliopita tena kwenye gazeti la kenya ww uko serious kweli 🀣🀣🀣🀣🀣 source media ya kenya

mm narudia kukwambia tanzania kua middle income wengi sana kwasababu ardhi watu wanamiliki na wanajenga majumba yao wenyewe nyinyi hamuwezi kua na middle income wengi kwasababu ardhi iko mikononi mwa wachache hamuna ndoto ya kumiliki ardhi mpaka dunia inasimama kazi iliobakia ni kufanya kazi kulipia rent za bedsitter basi mtu anajiona nae middle income πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

hata ukiangalia gap between rich and poor kenya ndio inaongoza bado unataka ramli au



Ukija kwenye unemployment rate kenya iko juu na ni top 5 or 10 in africa about 40% unemployment rateπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Huyu hata mwalimu wake alikuwa na hard time
Yani mm hua sipati tabu na ww kwasababu nakujua vzr sana na hujaanza leo kua kichwa maji 🀣🀣🀣🀣🀣 kilaza yule yule wakuchukua vipicha vya estate na kufananisha na tandika wakat zipo sehem nyingi zimezunguka kenya hutaki kuzifananisha nazo tukaona kwann nakuita kichwa maji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii hawapendi kuskia., Kwao ni juu kisha chini., katikati ni kidogo sana! Though by global standards, Africa bado tuko down save akina Botswana, Mauritius na Seychelles., wako sawa sana! Especially Seychelles., standards almost za Europe.
Mbona hungalii gap between rich and poor kenya iko highest in east africa au hilo kwako hushangai 🀣🀣🀣🀣🀣 munawaza ndoto za kihayawani wakat mambo kwa ground ushuzi kwa kunguru
 
Hawa wenzetu think life begins and ends in Tanzania. And then the most boring part ni pale mtu anapo argue bila kuwa na facts
Mm au ww nani ana argue without facts kwann usifananishe kibera au mathare na tandale au tandika alaf tukaona wapi kuna slum ambazo mzungu huongelea hapa🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…