Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waziri wa viwanda Kenya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ vipi MZEE mwaka huu mmeingiza raw materials kiasi gani kutoka Tanzania .?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ We mjomba muongo muongo sana
 
Hebu zoom tuone hio slum ambayo mzungu hajaiona toka dunia imeumbwa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ najua utakua mwafrika wakwanza kugundua
Kwa hivyo ni lazima mzungu aseme ni slums ndio iwe slum? Wewe huwezitumia akili yako ya kuzaliwa? Wewe unafaa mzungu akurudishie akili yako uanze kufikria vyema. Inaama kila kitu anachosema mzungu ni kweli sababu tu ana ngozi nyeupe?? Hii utumwa wa kili utaacha lini?

Sawa basi, Uthiru mzungu alisema ni slum kutokana na ile picha yako. Unaona dalili yoyote ya slum hapa?

Alafu linganisha na hizo midreamhouses zenu na ujue ni wapi panastahili kuitwa slum
 
Let him be., wachana na yeye apumue๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…, on average modern/latest model matatus hawatoboi., watatafuta vijisababu tu, kama vile wakibanwa kwa hoja mkombozi wao huwa ni Kibera ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ.,
Huyo jamaa hachoki na kuaibishwa daily, kila mkenya anambaka kwa zamu.๐Ÿ˜๐Ÿ˜ sasa ni zamu yako ji-enjoy๐Ÿ˜‚
 
Exactly. Yani wanataka na sisi tufanane nao. Wanaona jinsi jiji lao ilivyojaa Swahili shanties that they proudly call dreamhouses na wanashanga where they went wrong as far as urban residential planning is concerned. Kama kuna kitu mtanzania haweziniambia ni makaazi ya watu. I have seen enough images of their residentials to know what am talking about. Hovyo sana.
 

. ..pia Uganda gas bado sana., ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ., ichoboy01 hawezi kukibali kushindwa, huyo Mr Mwanza huwa anaumwa na ukweli๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…
Huyu jamaa ni muongo muongo huyu msimwamini huyu yani huyu ni pungasese .. eti huyu Coco reborn anasema kila nyumba Kenya Ina gesi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. ๐Ÿ‘‡ . . Muache uongo uongo nyie mungiki
 
Nishampa picha za Uthiru ambayo huyo mzungu wake anasema ni slum na hajibu chochote. Yani hiyo Uthiru wanayosema ni slum 90โ€ฐ can't even afford life there
 
Wewe unajua unaingilia mada hujui! Kama mwenzako alishashindwa kujibu hilo swali hadi akaachana nayo wewe ndio utaweza? Hizo picha umeleta unaona kuna mwenye anauza maji? Hiyo ndio ilikuwa ni mjadala kati yangu na yule kilaza mwenzako. Acha kudandia train kwa mbele. Niletee picha ya trolley za wauza maji cbd kama hii yenu
 
Huyo kilaza alikuwa akidandia train kwa mbele achana naye. Hiyo story ya trolleys ilikuwa kati yangu na kilaza mwenzake ambaye alishakimbia kwa kukosa jibu. Yeye anakufa kifo cha maji. Mpuuze tu
 
Shitty looking houses that they proudly call dreamhouses. Ila wenzetu jamani!! ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Huyu jamaa ni muongo muongo huyu msimwamini huyu yani huyu ni pungasese .. eti huyu Coco reborn anasema kila nyumba Kenya Ina gesi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. ๐Ÿ‘‡ . . Muache uongo uongo nyie mungiki
Usituforce tufanane, gesi kenya si luxury ni neccessity lazima umiliki. Mkipigwa bao kubalini mbona tuusan amekubali bila ubishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ