Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii na kibra hakuna tofauti,,na eti kwao ni middle income estate 🤮🤮😂😂😂
That's the satire. Jana I shared with Ichoboy picha za Uthiru that he constantly calls a slum then one of them responded eti hizo ndio upgrades za slum tulifanya then mabwenyenye wakanyakua. Nilibaki tu nikicheka na kujiuliza upgrades zilifanyika lini Uthiru or whether there was anything to upgrade there. Yani middle income estates zao hazina tofauti na kibich na zile zetu wanaita slums they can't even afford to live in. Unasikia mtu anasema eti Uthiru na Ruai ni slums wakati nyumba ziko kule he can't even afford
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wenzetu bado Sana hamna nchi yenye ubaguzi Kama Kenya[emoji846]

Sasa kuelewa nini wakati kitu issue ipo wazi?[emoji846]
Sasa wakikuyu na waturkana wana uhasimu gani[emoji23][emoji23]
Ikiwa wakikuyu na wajaluo tu wanaoana na ndio mahasimu wakubwa kenya likija swala la siasa itakuja waturkana..
Nyie kweli malofa
 
Sasa wakikuyu na waturkana wana uhasimu gani[emoji23][emoji23]
Ikiwa wakikuyu na wajaluo tu wanaoana na ndio mahasimu wakubwa kenya likija swala la siasa itakuja waturkana..
Nyie kweli malofa
Nyooo! Malofa ni nyie huko mnao baguana na kusingizia Wana siasa 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…