Sasa ni nini mko nayo mpya kando na hizo mmeshinda mkipost wiki nzima? And then huku hatutegemei nyumba kama hizo kujengwa tu na serikali ndio ziwepo. Gated communities are almost everywhere in Nairobi na sio miradi ya serikaliMmetuacha mbali kwenye nini mzee.? Miradi ya nyumba ya serikali au. .?
Hii miradi mzee wangu ipo mingi mno, ipo nchi nzima in case you don't know, na hata hizo gated communities dar zipo za kushato ni vile Mazingira ya kurusha drone DSM ni magumu sana na vlogas wengi wanatumia kuiba ili kuonyesha uzur wa dar, lakini siku nikipata nafasi nitafanya hiyo shughuli mwenyewe na ndio mtakapojua kwamba tulishawapitaga mbali sana,.. nyie kwenye barabara tena barabara za ndani ya Nairobi kidogo ndio mtatuumiza vichwa Ila tofauti na barabara za ndani ya Nairobi hakuna kitu kingine mnaweza kutushindaSasa ni nini mko nayo mpya kando na hizo mmeshinda mkipost wiki nzima? And then huku hatutegemei nyumba kama hizo kujengwa tu na serikali ndio ziwepo. Gated communities are almost everywhere in Nairobi na sio miradi ya serikali
Kisa Ni affordable houses ndo maana mmepaka rangi hovyo hovyoMore of the affordable housing project in Ngara. Complete and up for grabs
View attachment 1781449View attachment 1781451View attachment 1781452
Very poor n shunt designSubiri kaka,,ata ya Thika superhighway mlisema haitajengwa,,jionee BRT station ikijengwa sasa[emoji12][emoji12][emoji7][emoji7][emoji23][emoji23]
View attachment 1781056
View attachment 1781057
View attachment 1781058
Kwani wanaakili hawa mzee, Rais wao mlevi ndio anawapoteza maboyaKwenye hili swala la brt wakenya wamekurpuka sana aisee wapende wasipende ila kwa mradi wamebugi , wewe imagine wakati wa pick hours itakuje Kwenye izo marked brt roads [emoji848]
Ndo zao hizo 🙄🙄👇👇👇Wanaongelea BRT ya Kenya but wanatumia picha za TazView attachment 1781441
Ruaka ni moto sanaRuaraka Nairobi, more beautiful than any part of Tanzania
View attachment 1781383
Kulingana na bongolala using 1% of the brain as usualUnajifanya hujui moto wao eeh...Turkana Ni nchi inayojitawala ndani ya Kenya
Tanzania is the most useless country in the world, na madini yote bado ni maskini wakutupwa, jamani tuwaombee maana walirogwa😁😁Jirani Sema Kimeumana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Tanzania View attachment 1781619
KimeumanaJirani Sema Kimeumana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Tanzania View attachment 1781619
uko thika sio? this is too low for you. usimuige bwana mapesa.. View attachment 1781422
Hii na kibra hakuna tofauti,,na eti kwao ni middle income estate 🤮🤮😂😂😂Kwanza pakeni hizi zenu rangi, angalau hata paa za nyumba tu kisha mpange jiji lenu ndio uje utoe povu
View attachment 1781443
nadhani kuna umuhimu kuwa na gold refinery mitaa ya Musoma for strategic reasons pia!Kimeumana