Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂😂Sa stress yako ni kulipa tu,hio si issue,,ata walipishe 100 yrs tutalipa,that road is classic men😍😍
Nani analipa wakat chakula mli mmoja unamtoa kamasi mtu 🤣🤣🤣🤣 hapo mchina kasha win for second game after SGR
 
Umia pole,,hii Ni phase one pekee,, phase 2 iko njiani na itakuwa na huge parking building size ya hio yenu ya magufuli😁😁
Phase 2 iko wapi ??? Hio phase 1 yenyewe mkopo alaf unazungumzia phase 2 🤣🤣🤣 sijui mumerogwa na nani
 
Eti Thika superhighway Ni 8 lanes😂😂😂😂mamayoo,,,10-12 lanes,,Tz yote hakuna lanes Kama hizi
8 lanes siku hzi kikenya munaita 12 lanea 🤣🤣🤣🤣 au hujui lanes zinahesabika vp
 
Hao ndio watalii wenye pesa sasa sio wale wanakwenda masai mara per night 20$🤣🤣
 
Kwanza umeelewa walichoeleza au akilini mwako unawaza ushindani tu😅😅😅 elewa wanachokisema kwanZa👇👇👇👇 kwamba nchi imejinyea tayar
 
Polepole tutafika🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Postdam

Postdam palace
Berlin
Berlin from above


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…