Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ikamilike kwa kupaka rangi au ww unafkiri BRT ni kama kula omenaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mbona mulipaka hio rangi miaka mitatu na hakuna kitu mulifanya
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Si niwe tu ulisema utaamini expressway inajengwa ukiona construction board,,zidi kuhesabu miaka utajua hujui๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Unajua statistics ya bongolala wewe?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., jiangalie uone๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na huo uchumi hafifu.., alafu was talking on middle class.., what do u have?., Tz ni juu kisha chini, period!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
So hio media wamesema uongo ama ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ alaf mbaya zaidi ni media yenu sijui utalilia wapi, ngโ€™ombe ameoga mwili kichwa kimebakia
 
Nakwambia hvi tanzania in matajiri wengi mara tatu ya kenya hilo la kwanza la pili tanzania ina middle class wengi kuliko kenya kitu mumeshinda tanzania ni umaskini na maskini wenyewe hapo nawapa kongole๐Ÿคฃ
 
...and Kenya will pay, hakuna kusamehewa deni.., watch and see.., uchumi wa kwenye makaratasi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mutalipa na nn debt to GDP ratio iko kwenye red line ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ